-->

Daily Archives: October 14, 2016

Ali Chocky na Madai ya Kuihama Twanga

Post Image

Msanii wa Muziki wa Dansi Bongo ambaye kwa sasa anapiga mzigo na Bendi ya African Stars ‘Twanga Pepeta International’,  Ali Chocky amezima madai yaliyokuwa yakienea chini kwa chini kuwa, ana mpango wa kuihama bendi hiyo. Akizungumza na safu hii hivi karibuni, Chocky alisema kuwa, wanaoeneza madai hayo wana sababu zao ila mashabiki wake wajue tu […]

Read More..

Abdu Kiba: Sioni Sababu ya Kiba Square Kuja...

Post Image

Msanii Abdukiba mdogo wa Alikiba amefunguka na kusema kuwa kwa sasa haoni sababu ya kazi zao kama kundi na kaka yake kuanza kutoka kutokana na Alikiba kuwa na kazi nyingi za kushirikiana hivyo atasikika kwa muda mrefu katika kazi mbalimbali. Abdu Kiba alisema hayo kupitia kipindi cha eNewz ya EATV na kusema kutokana na Alikiba […]

Read More..

Gigy, Amber Lulu Waingia Kwenye Vita Baridi

Post Image

Ma-video queen wasumbufu Bongo, Lulu Euggen ‘Amber Lulu’ na Gift Stanford ‘Gigy Money’ wapo kwenye vita baridi (vita ya maneno) kufuatia Gigy kumchamba mwenzake kutokana na yale madai ya kukamatwa na ‘unga’ jijini Arusha. Chanzo makini kililiambia gazeti hili kuwa baada ya habari kuzagaa kuwa Amber Lulu amekamatwa na polisi Arusha akiwa na unga, Gigy […]

Read More..

Picha: Barakah The Prince Aonyesha Mjengo W...

Post Image

Msanii wa bongo fleva nchini Tanzania ambaye aliwahi kupata tuzo ya msanii bora anayechipukia mwaka 2014 /2015 kupitia wimbo wake ya ‘Jichunge’ Barakah The Prince ameonesha matunda aliyoyapata kutokana na muziki tangu aanze kuimba mwaka 2014. Miongoni mwa mafanikio aliyopata ni pamoja na kujenga nyumba kubwa yenye vyumba 5 huku nje akiwa ameweka sehemu ya […]

Read More..

Ochu Shegy ni Bora Kuliko Chris Brown ̵...

Post Image

Rapa wa kike nchini, Witness a.k.a kibonge mwepesi amefunguka na kusema kuwa msanii Ochu Shegy ambaye kwa sasa ni mume wake kuwa yeye ni bora kuliko hata Chris Brown. Witness alisema hayo kupitia kipindi cha 5Selekt kinachorushwa na Ting’a namba moja kwa vijana na kudai kuwa kwa sasa Ochu Shegy ni kama ‘Role Model’ wake […]

Read More..

Nyerere Day: Mastaa wa muziki na filamu wam...

Post Image

Leo watanzania wanaadhimisha miaka 17 toka Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere amefariki dunia. Alifariki tarehe 14 Oktoba, 1999 huko Uingereza alipokuwa kwenye matibabu. Kitaifa maadhimisho haya yanaenda sambamba na uzimwaji wa Mwenge wa uhuru Mkoani Simiyu, ambapo mgeni rasmi ni Rais wa Zanzibar Dkt.Ali Mohamed Shein Mkoani Simiyu. Kwa upande wa staa wa […]

Read More..