-->

Daily Archives: October 17, 2016

Dully Sykes Afunguka Kumkubali Zaidi Diamon...

Post Image

Msanii mkongwe wa muziki wa Bongo Fleva, Dully Sykes amefunguka sababu ya kumkubali zaidi Diamond Platnumz kuliko wasanii wengine. Muimbaji huyo ameiambia Times FM kuwa anamkubali zaidi Diamond kwakuwa amekuwa akimheshimu zaidi. “Watu wanalalamikaga ‘oooh’ namsifia sana Diamond, nisiongee uongo nakubali wote wananiheshimu lakini Diamond ananiheshimu na kunionesha nidhamu zaidi,” amesema Dully. Dully ameongeza kuwa […]

Read More..

Mastaa Wasusia Harusi ya Beka

Post Image

Jana ilikuwa ni siku ya sherehe ya ndoa ya msanii wa filamu Bongo, Bakari Makuka ‘Beka’ ambapo ilifana vilivyo huku waalikwa wakila, kunywa na kuserebuka vilivyo. Sherehe hiyo ilifanyika katika Ukumbi wa Prime Rose uliopo Mbezi Beach, Dar ikiwa ni baada ya kufunga ndoa na mkewe Nasra, Ijumaa iliyopita katika msikiti wa Ununio, Jumamosi ikafuatiwa […]

Read More..

Stan Bakora Afungukia Ishu ya Barakah The P...

Post Image

Mchekeshaji maarufu Stan Bakora amefunguka juu ya povu lililomtoka Barakah The Prince siku kadhaa baada ya kuachia parody ya wimbo ‘Nisamehe’. Kupitia kipindi cha Friday Night Live cha EATV, Stan amesema kuwa kama asingefanya vile video ingekuwa ya kawaida tu na isingeleta maana. “Barakah ameshindwa kuelewa. Kama nisingefanya vile ile video isingeleta maana, lazima uonyeshe […]

Read More..

King Crazy GK Atoa Wito Huu Kwa Wasanii

Post Image

Msanii King Crazy GK amesema kitendo cha wasanii kuandikia nyimbo studio na kuingiza sauti hapo hapo kurekodi, ni moja sababu inayofanya muziki wa sasa kutoishi kama ule wa zamani.   Akizungumza na East Africa Radio, King Crazy Gk amesema msanii kurekodi wimbo huku akiwa anasoma mashairi kwenye karatasi aliyoandikia inapoteza ‘focus’ ya msanii na kupoteza […]

Read More..

Nataka Kuwa Mcha Mungu-Shamsa Ford

Post Image

Staa wa filamu na mama wa mtoto mmoja, Shamsa Ford amefunguka kwa kusema kuwa kwa sasa anataka kujikita zaidi kwenye ibada ya kufanya mambo ambayo yanampendeza mwenyezi Mungu. Mwigizaji huyo ametangaza uwamuzi huyo ikiwa ni miezi michache toka afunge ndoa na mfanyabishara wa maduka ya nguo, Chidi Mapenzi. Kupitia instagram, Shamsa Ford ameandika Maisha ya […]

Read More..