-->

Daily Archives: October 23, 2016

Msaga Sumu: Mimi ndiye mwanzilishi wa Singe...

Post Image

Muimbaji nguli wa muziki wa Singeli, Msaga Sumu amedai kuwa yeye ndiye mwanzilishi wa muziki huo hapa nchini. “Mimi ndiye mwanzilishi wa singeli, nimeipigania sana toka enzi za vigodoro kabla havijapigwa marufuku. Nilikuwa naloop beat za taarabu hadi akina Mzee Yusuph walitaka kunishtaki, nimepigana hadi leo hii imefikia hapa,” amekiambia kipindi cha Friday Night Live […]

Read More..

‘Ngoma Ngumu’ Kuonyeshwa Leo Usiku Ndan...

Post Image

Usipitwe na filamu hii leo saa 3 usiku kupitia Sibuka Maisha channel 111 kwenye startimes utakutana na Irene Uwoya,Dude,Ester Kiama,Haji Adamu na wengine wengi. Pia Jumatatu itapatikana nchi nzima kwenye maduka ya steps entertainment

Read More..

Mpenzi Mpya wa Wema Sepetu Afungukia Penzi ...

Post Image

‘Model’ anayedaiwa kuchukua nafasi ya Idriss kwa kutoka kimapenzi na mrembo Wema Sepetu, amejikuta akiweka hadharani mahaba yake kwa mrembo huyo kwa kutoa maelezo yanayothibitisha kuwa hivi sasa yeye na Wema ni wapenzi. Kijana huyo anayefahamika kwa jina la Calisah, alikumbana na kibano kizito kupitia kipindi cha FNL kinachuruka kila Ijumaa kupitia EATV, pale alipotakiwa […]

Read More..

MTVMAMA2016: Diamond, Alikiba, Vanessa Mdee...

Post Image

Tanzania imetoka kapa kwenye tuzo za MTV MAMA 2016 zilizofanyika usiku wa Jumamosi hii jijini Johannesburg, Afrika Kusini. Diamond, Alikiba, Vanessa Mdee, Raymond, Navy Kenzo na Yamoto Band walikuwa wametajwa kuwania tuzo hizo. Wizkid alikuwa man of the night Ulikuwa ni mwaka wa Wizkid aliyeibuka na tuzo nyingi zaidi, ikiwemo ya msanii bora wa mwaka. […]

Read More..