-->

Daily Archives: October 18, 2016

Said Fella Afungukia Tetesi za Bifu Lake na...

Post Image

BAADA ya hivi karibuni kudaiwa kuwa ana bifu na msanii wake, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, bosi wa Yamoto Band, Said Fella  amefunguka kuwa tetesi hizo siyo za kweli na haijawahi kutokea.   Habari kutoka kwa vyanzo mbalimbali zilidai kuwa wawili hao waliingia kwenye bifu baada ya wasanii wa Bendi ya Yamoto anayoisimamia kumlalamikia Diamond ambaye […]

Read More..

Roma Mkatoliki Afungukia Skendo ya Kuwa na ...

Post Image

Msanii Roma Mkatoliki amempa zawadi ya wimbo mtoto wake anayeitwa Ivan katika siku yake ya kuzaliwa ambapo ametimiza miaka minne, lakini kuna tetesi kuwa rapa huyo ana mtoto mwingine nje ya ndoa. Ukiongelea wasanii ambao wanafanya vizuri kwa upande wa hip hop huwezi kuacha jina la Roma Mkatoliki. eNewz ilipiga story na Roma na alisema […]

Read More..

Q Chief Bado Anajuta Kuingia Kwenye Matumiz...

Post Image

Ikiwa ni mwaka mmoja toka msanii wa muziki, Q Chief akiri kutumia Madawa ya kulevya na kuamua kuacha mwenyewe, muimbaji huyo bado anaumia akikumbuka jinsi Madawa ya kulevya yalivyomwaribia maisha yake. Muimbaji huyo ambaye mpaka sasa bado ana mashabiki wengi katika muziki wake, aliacha matumizi ya Madawa ya kulevya baada ya bintie kumuelezea adha anayopata […]

Read More..

Z Anto Awatolea Nje WCB

Post Image

Msanii Z Anto ambaye aliwahi kutamba na ngoma kibao kali kama ‘Binti kiziwi, Mpenzi jini, Kisiwa Cha Malavidavi amefunguka na kusema kuwa mpaka sasa kuna label zaidi ya nne ambazo zinamuhitaji na kuhitaji kufanya naye kazi. Akiongea kwenye kipindi cha Planet Bongo Z Anto amesema alipata ofa kujiunga na WCB Wasafi lakini yeye mwenyewe anadai […]

Read More..