-->

Daily Archives: October 21, 2016

Simjui Baba Yangu – Rammy Galis

Post Image

Msanii wa filamu nchini Rammy Galis amefunguka na kusema kuwa historia ya wazazi wake kidogo ni changamoto na kudai kuwa katika kipindi chote cha maisha yake hajawahi kumuona wala kuonana na baba yake mzazi.   Rammy Galis alisema hayo kupitia kipindi cha KIKAANGONI kinachuruka LIVE kupitia ukurasa wa Facebook wa EATV kila siku ya Jumatano kuanzia […]

Read More..

Lulu Diva, Amber Lulu Hakuna Bifu

Post Image

Muuza sura kwenye video za Kibongo, Lulu Abass ‘Lulu Diva’ (pichani juu) na mwenzake Amber Lulu (pichani chini) hawana bifu lolote isipokuwa kuna watu wana mpango wa kuwagom-banisha. Akichonga na Risasi Vibes, Lulu Diva alifunguka kuwa awali aliposikia kuwa Amber alimpaka matope kwenye ‘interview’ aliyofanya na redio fulani Bongo, alipaniki na kumtafuta ili amueleze kulikoni, […]

Read More..

Nikki wa Pili Aonesha Utofauti Wake na Joh ...

Post Image

Nikki wa Pili ambaye hivi sasa bado anafanya vizuri na wimbo wake wa ‘Sweet Mangi’ amefunguka na kusema kuwa kimuziki kati yake yeye na Joh Makini kwa mtazamo wake yeye anaona kuwa Joh Makini amemzidi mbali sana katika sanaa. Kutokana na hilo, Nikki amewataka watu watambue kuwa Joh Makini ana kipaji kikubwa zaidi yake na […]

Read More..

‘Ustaa Kwenye Tiba ya Dawa za Kulevya Laz...

Post Image

IMEKUWA kama ‘fasheni’ kwa mastaa ambao wanatumia dawa  mbalimbali za kulevya kusikia anapata tiba, anaendelea vizuri na kuja na kazi mpya, lakini baada ya muda unasikia amerudia tena kwenye utumiaji wa dawa na inaaminika kuwa nguvu kazi ya taifa inapotea. Kwanini nasema imekuwa ‘fasheni’, tumeona au kusikia baadhi ya mastaa wameibuka kuwa wanatumia dawa au […]

Read More..

Picha: Alikiba Atua Afrika Kusini Kwenye Tu...

Post Image

Staa wa Bongo Fleva, Alikiba ametua nchini Afrika Kusini kwa ajili ya kushiriki kwenye utoaji tuzo za MTV MAMA akiwa na kiongozi wake wa Rockstar4000, Seven Mosha, meneja wake anayetambulika kwa jina la Aidan pamoja na Barakah The Prince. Alikiba ni miongoni kati ya wasanii watakaotumbuiza kwenye tuzo hizo Jumamosi hii ya Oktoba 22 mjini […]

Read More..