-->

Daily Archives: October 30, 2016

Pichaz: Show ya Diamond Nchini Malawi

Post Image

Licha ya mvua kubwa kunyesha, Diamond amefanikiwa kupiga show iliyofana kwenye Sand Music Festival iliyofanyika kwenye fukwe za Living stone Jumamosi hii. Mpiga picha wake, Kifesi amedai kuwa mvua kubwa ilinyesha na kulazimu show yake kusimama kwa muda. Hata hivyo mashabiki waliokuwa na hamu kumuona akitumbuiza, walisubiri hadi ilipokata. Kwenye picha hii Kifesi ameandika: Picha […]

Read More..

Mtanga Atoa Ombi Hili kwa Serikali

Post Image

Msanii wa vichekesho nchini ambaye kwa sasa anafanya kazi na kundi la Ze Comedy la EATV maarufu kama Mtanga ameiomba serikali isimamie mauzo ya kazi za wasanii kwa kuwa wasambazaji binafsi wanawaonea wasanii jambo ambalo linadidimiza tasnia ya sanaa. Mtanga ameyasema hayo katika kipindi cha  SUPAMIX katika programu maalumu inayokwenda kwa jina la ‘KAMATIA KITAA’ […]

Read More..

Msanii Linah Ajibu Madai ya Amini

Post Image

Baada ya Amini kudai msanii mwenzake Linah Sanga amebadilika na kupoteza ule uimbaji wake wakuvutia, Linah amefunguka na kuizungumzia kauli hiyo. Muimbaji huyo ambaye aliwahi kufanya vizuri na wimbo ‘Ole Themba’ amesema kwa sasa yeye yupo juu zaidi ya Amini. “Unajua soko letu lilivyo linabadilika badilika na hii ni biashara kusema nifuate ‘Ulinah’ sana naweza […]

Read More..

Ray C bado ana ‘chumba’ Chake – Lord Eyes

Post Image

Rapa Lord Eyes ambaye ni mmoja wa wasanii wa kundi la Weusi amefunguka na kusema msanii Ray C bado ana chumba chake kwenye muziki na kusema yeye bado anamuombea kwani kwa matatizo aliyonayo kwani yale ni kama maradhi hivyo hayaponi kwa siku moja. Lord Eyes ambaye kwa sasa amepumzishwa kwenye kundi hilo, alisema hayo kupitia kipindi […]

Read More..

Mwijage Kuwa Mgeni Rasmi Fainali Maisha Plu...

Post Image

WAZIRI wa Viwanda na Biashara, Charles Mwijage, amekubali kuwa mgeni rasmi katika fainali ya Maisha Plus Afrika Mashariki 2016. Akizungumza na waandishi wa habari jana, Mwijage alisema atahudhuria katika kijiji hicho na atafanya uzinduzi wa mashine ya kukobolea mahindi. Alisema amepata mwaliko wa kwenda katika Kijiji cha Maisha Plus na kazi kubwa ambayo ataifanya ni […]

Read More..

Miss Kinondoni Atwaa Taji la Miss Tanzania ...

Post Image

Miss Kinondoni 2016, Diana Edward Lukumai aimeibuka kidedea kwa kutwaa taji la Miss Tanzania 2016. Shindano hilo kwa mara ya kwanza limefanyika jijini Mwanza katika ukumbi wa Rock City Mall. Diana ameibuka kidedea na kuwabwaga wenzake 30.

Read More..