-->

Daily Archives: October 13, 2016

Belle 9: Siwezi Kufanya Singeli, Atoa Sabab...

Post Image

Belle 9 amesema hafikirii kabisa kufanya muziki wa Singeli. Muimbaji huyo wa R&B amesema huo ni muziki wa kupita na katu hauwezi kudumu. Alitoa kauli hiyo baada ya kuulizwa swali na mtangazaji wa kipindi cha Supa Mega cha Kings FM, Prince Ramalove iwapo atafanya muziki huo mashabiki wakimtaka. “Sitegemei,” alisema Belle. “Hata kama nitafanya, sitofanya […]

Read More..

Diamond:Zamani Nilikuwa Namuiga Barnaba

Post Image

Diamond amesema wakati anaanza muziki, alikuwa anamuigiza Barnaba lakini baadaye akaja kupata njia yake mwenyewe. Alisema hivyo kujibu swali la anaonaje pale anapomsikia Harmonize akiimba kama yeye. Akiongea kwenye kipindi cha The Base cha ITV, Diamond alisema, “Unajua katika muziki kila mtu ana role model wake. Mimi wakati naanza nilikuwa nawaangalia sana Ne-Yo na Usher […]

Read More..

Dokii Afunguka Kukosa Madili, Atoa Wito Huu

Post Image

Muigizaji wa filamu na mwanamuziki nchini maarufu kwa jina la Dokii, amefunguka na kusema kuwa tangu alipo tangaza kuokoka amekuwa akikosa madili mengi sana kwenye tasnia ya filamu nchini. eNewz ilipiga story na Dokii na alisema amekuwa akikosa kazi za u ‘MC’ na sanaa aliyokuwa akiifanya kutokana na watu wengi waliokuwa wakivutiwa na ukataji wake […]

Read More..

Malaika Afungukia Yale Yanayomuumiza

Post Image

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Malaika ambaye kwa sasa anafanya vizuri na wimbo wake ‘Rarua’ amefunguka na kusema kuwa watu wanapokuwa wakitumia picha zake au wakiandika mambo yanayohusu maisha yake binafsi ni kitu ambacho kinamuumiza sana.   Malaika alisema hayo kupitia kipindi cha ‘Ngaz Kwa Ngaz’ kinachorushwa na EATV na kudai kuwa muda mwingine […]

Read More..