-->

Daily Archives: October 11, 2016

Lulu:Nimekataa Dili Kadhaa Kutoka Nigeria

Post Image

Msanii mahiri wa filamu Bongo, Elizabeth ‘Lulu ‘ Michael amefunguka kwa kudai kuwa tangu alipopata tuzo ya AMVCA 2016 amekataa dili kadhaa kutoka kwa wasanii wa muziki wa Nigeria. Muigizaji huyo ameitaja sababu ya kukataa dili hizo imetokana na yeye si mwanamuziki wala video vixen. “Nimepata dili kama mbili tatu kutoka Nigeria za kuigiza filamu […]

Read More..

Linah Sanga Afunguka Kuhusu Ujauzito

Post Image

Msanii wa Bongo Fleva Linah Sanga maarufu kama ‘Ndege Mnana’ amefunguka na kusema kwa sasa hana ujauzito kama ambavyo watu wanahisi ila amedai kuwa yeye mwenyewe anatamani kuwa na mtoto na kusema muda si mrefu huenda mambo yakawa hivyo. Linah Sanga alisema hayo kupitia kipindi cha Friday Night Live ya EATV na kusema hivi sasa […]

Read More..

Nay wa Mitego: Ya Barakah na Stan Bakora in...

Post Image

Nay wa Mitego amedai kuwa kinachoendelea kati ya Barakah The Prince na Stan Bakora, kinaweza kuwa kitu cha kutengeneza. Akiongea na mtangazaji wa Kings FM, Prince Ramalove, rapper huyo amewaita wawili hao wote watoto na kwamba umri wao unawaruhusu kufanya wwanachokifanya. “Siwezi kusimama upande wowote, hao ni watoto, wote ni wadogo mimi ni wadogo zangu,” […]

Read More..

Saida Karoli Atamani Collabo na Diamond

Post Image

Msanii wa Bongo Fleva Diamond Platnumz amesema msanii Saida Kalori alimwambia kwamba anatamani kufanya naye kazi. Diamond ameyasema hayo alipokuwa kwenye kipindi cha FNL cha EATV ambapo ameweka bayana kwamba wimbo ‘Salome’ ambao unaendana kabisa na wa Saida Kalori ulipata Baraka zote kutoka kwake na walipowasiliana kwa njia ya simu alimwambia anatamani kufanya naye kazi. […]

Read More..