-->

Daily Archives: October 25, 2016

Nimejipanga kwa Ubunge Kigoma- Aunt Fifi

Post Image

MWIGIZAJI wa filamu Swahilihood Tumaini Bigilimana ‘Fifi’ amesema kwa sasa anajipanga kwa aajili ya kugombea Ubunge huko Kigoma ili aweze kuwasaidia wasanii wa filamu baada ya kilio chao cha muda mrefu kushindwa kutatuliwa kutoka na maharamia wa kazi zao hivyo anaamini kuwa endapo ataingia Bungeni kazi hyo itakuwa rahisi sana kutetea maslahi ya wasanii wa […]

Read More..

Mwanaume Lijali Hawezi Kuishi kwa Mwanamke ...

Post Image

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva ambaye kwa sasa anafanya vizuri wa wimbo wake wa ‘Rarua’ Malaika amefunguka na kusema kuwa hakuna mwanaume lijali na mwanaume aliyekamilika ambaye anaweza kuishi kwenye nyumba ya mwanamke. Malaika alisema hayo kupitia kipindi cha ujenzi kinachorushwa na EATV alipokuwa akionesha hatua iliyofikia nyumba yake hiyo na kudai kuwa haamini […]

Read More..

Bond: Watoto Wa Wastara Hawakupenda Aolewe

Post Image

SIKU chache baada ya kuripotiwa kupika na kupakua na staa wa filamu za Kibongo, Wastara Juma, Bond Suleiman ameibuka na kusema watoto wa mke huyo wa zamani wa Mbunge wa Donge, Sadifa Juma, hawakupenda mama yao aolewe na mtu mwingine zaidi yake. Akipiga stori na Za Motomoto News, Bond alisema alipokuwa kwenye ndoa, watoto hao […]

Read More..

Bado Nipo Kwenye ‘Game’ – Soggy

Post Image

Mwana hip hop ambaye amewahi kuishika game ya bongo fleva miaka ya nyuma, Soggy Doggy Hunter, amesema hajaacha muziki, licha ya kutosikika akitoa kazi mpya kwa kipindi kirefu. Soggy amewatoa shaka wapenzi wa bongo fleva, alipokuwa akizungumza na EATV, ambapo amedai kuwa kila siku anaandika ngoma ngoma mpya na kwamba hadi sasa ana ngoma zaidi […]

Read More..

Tanzia: Pigo Tena Bongo Movie, Muigizaji Ha...

Post Image

Muigizaji wa tamsthilia hapa Bongo, Haji Jumbe, ambaye amekuwa akiigiza kama Mr. Benson katika tamthilia ya Siri za Familia inayorushwa na EATV amefariki dunia jana Jumatatu jioni, Oktoba 24, katika Hospitali ya Kinondoni kwa Dr. Mvungi. Imearifiwa kuwa, siku chache kabla ya kifo chache, zilizopita alikuwa akisumbuliwa na maradhi ya tumbo. Mazishi yanatarajia kufanyika leo […]

Read More..