-->

Daily Archives: October 28, 2016

Hii Ndilo Jina Jipya la Mr Blue Baada ya ...

Post Image

Mr Blue amelitaja jina lake jipya analolitumia baada ya lile la ‘Simba’ kuchukuliwa na Diamond Platnumz. Rapper huyo amesema kuwa kwa sasa anatumia jina la ‘Nyani Mzee’ kama jina lake jingine la utani. “Actually kwa sasa jina la Simba nimeliacha ila kwa sasa natumia jina la ‘Nyani Mzee’ nikimaanisha nimekwepa mshale mingi. Nasubiri na hilo […]

Read More..

Nimeamua Kuwa Nuru Yao- Da Zitta

Post Image

MTAYARISHAJI na mwigizaji wa filamu Bongo Zitta Matembo ‘Da Zitta’ aamegeukia walemavu baada ya kutengeneza filamu ijulikanayo kama Nuru huku mhusika mkuu wa filamu hiyo akiwa mlemavu kabisa na inaelezea changamoto wanazokutana nazo jamii hasa wale wenye ulemavu wa viungo mbalimbali Da Zitta anasema kuwa imekuwa ni vigumu sana wasanii ambao wana ulemavu kupiwa nafasi […]

Read More..

Tuzo Zitaongeza Thamani ya Mauzo ya Filamu-...

Post Image

Rais wa Shirikisho la Filamu nchini (TAFF) Simon Mwakifwamba amesema tuzo ambazo zimeandaliwa na EATV ambazo zipo kwenye mchakato sasa na wasanii mbalimbali wamejitokeza kujipendekeza katika tuzo hizo zitasaidia wasanii kupaa katika mauzo ya kazi zao. Mwakifwamba ameyasema hayo alipokuwa akiongea na EATV akitoa mtazamo wake kuhusu kuanzishwa tuzo hizo na faida ambazo msanii anaweza kuzipata kwa kushiriki kuwania tuzo […]

Read More..

Alikiba: Sipendi Kiki na Sitofanya Kamwe

Post Image

Mkali wa Bongo Fleva Alikiba amesema Kiki ni kitu ambacho hakipo kwenye menu yake. Alikuwa akiongea kwenye kipindi cha Clouds 30 kupitia Clouds TV. Kwanza kwangu mimi hicho kitu hakipo, sijui kusema mimi nina hela. Na kuna watu wengine wanaongopa kwa kusema uongo tu kwasababu watanzania tumeshakubali kupelekwa na hiyo,” alisema. “Lakini kuna baadhi pia […]

Read More..

Msanii Akiri Kuwahi Kwenda kwa Mganga

Post Image

Msanii wa bongo fleva ambaye kwa sasa anafanya vizuri na wimbo wake wa ‘Samaki’ Galatone amefunguka na kusema kuwa yeye aliwahi kwenda kwa mganga wa kienyeji kufanya makeke ili aone jambo ambalo linamsumbua. Galatone alisema hayo kupitia kipindi cha ‘NgazKwaNgaz’ kinachorushwa na ting’a namba moja kwa vijana EATV, msanii huyo anasema katika hali ya kawaida […]

Read More..