-->

Daily Archives: October 15, 2016

Nikki wa Pili Atofautiana na Baghdad kwenye...

Post Image

Msanii Nikki wa Pili amepingana na kauli ya msanii mwenzake wa hip hop rapa Baghdad aliposema kutopendana kwa wasanii hao kutasababisha muziki wa hip hop bongo kufa. Akizungumza na EATV Nikki wa Pili amesema ingawa kutopendana kwa wasanii kupo kutokana na kazi wanayofanya kuwa ya ushindani, muziki wa hip hop hauwezi kufa kwani hiyo siyo […]

Read More..

Picha:Tunda Man Afunga Ndoa Rasmi

Post Image

Mkali wa Bongo Fleva kutoka  Tip Top Connection, Tunda Man amefunga ndoa na mpenzi wake wa muda mrefu aitwae Sabrah. Ndoa imefungwa Ijumaa ya jana mkoani Morogoro nyumbani kwa Bi Sabrah, ilihudhuriwa na mastaa wa muziki kutoka Tip Top Connection. Hizi ni baadhi ya picha.

Read More..

Amini: Linah Amepoteza Uhalisia Wake wa Mwa...

Post Image

Amini aliwahi kuwa na uhusiano wa kimapenzi na Linah uliodumu kwa miaka mingi kabla ya kuachana na kila mmoja akawa na maisha yake. Pia Amini aliwahi kumwandikia msanii huyo nyimbo kadhaa zilizofanya vizuri. Lakini sasa hitmaker huyo wa ‘Bado Robo Saa’ amesema kuwa Linah wa sasa si yule wa zamani katika uimbaji. “Linah wa sasa […]

Read More..

Mkono Awaponda Watayarishaji wa Filamu Nchi...

Post Image

Mchekeshaji na muigizaji maarufu nchini Mkono Mkonole amefunguka na kusema kuwa tasnia ya filamu nchini inashuka sana kwa sababu watayarishaji wengi wa filamu nchini kwa sasa hawatumii ubunifu mkubwa katika kutayarisha kazi hizo. eNewz ilipiga story na mchekeshaji huyo na alisema kuwa tasnia ya filamu nchini inazidi kudidimia kwa sababu watayarishaji wenyewe hawatumii ubunifu na […]

Read More..