-->

Daily Archives: October 29, 2016

Nyuma ya Pazia Diamond Kumfunika Kiba kwa â...

Post Image

MWISHONI mwa wiki iliyopita, gumzo kubwa kunako tasnia ya burudani Bongo ilikuwa juu ya hafla ya utoaji Tuzo za MTV Afrika (MAMA) ambapo wawakilishi kutoka Bongo, Vanessa Mdee ‘Vee Money’, Navy Kenzo, Yamoto Band, Diamond, Raymond na Ali Kiba ‘King Kiba’ walitoka kapa. Mengi yameongelewa kuhusiana na tuzo hizo kuonekana kama zilitolewa kwa upendeleo (Sauz […]

Read More..

Wasanii Bongo Umoja Wetu ni wa Misibani Tu:...

Post Image

Muigizaji wa kundi la Zecomedy la EATV, Mtanga amesema wasanii nchini hawana umoja kama watu wanavyodhani ila umoja huonekana pindi kukiwa na tatizo la msiba ndipo wasanii hukutana kwa umoja. Mtanga ameyasema hayo kupitia kipindi cha SUPAMIX ‘Kamatia Kitaa’ ambacho kimefanyika katika stendi ya Morocco Jijini Dar es Salaam ambapo kundi la Zecomedy limejumuika na wananchi […]

Read More..

Shamsa Ford: Siwezi Kuficha Hisia Zangu

Post Image

Msanii wa filamu na mama wa mtoto mmoja Shamsa Ford amesema yeye ni mwanamke ambaye hawazi kufisha hisia zake za mapenzi. Malkia huyo wa filamu ambaye alifunga ndoa miezi mitatu iliyopita na mfanyabishara wa maduka ya nguo Chidi Mapenzi, amesema amekuwa akijiachia katika mitandao ya kijamii kueleza hisia zake juu mume wake kutokana na kudai […]

Read More..

Sijawahi Kupata Tuzo Tangu Nianze Muziki -M...

Post Image

Msanii wa Bongo Fleva nchini Mr. Blue ameweka bayana kwamba pamoj na kukubalika na mashabiki wengi na na kuwa kwenye tasnia ya muziki kwa muda mrefu hajawahi kupata tuzo hata moja ya kutambua mchango wake kwenye muziki. Akizungumza katika kipindi cha Friday Night Live (FNL) kinachorushwa na EATV kila siku ya Ijumaa, Mr. Blue amesema  […]

Read More..