-->

Daily Archives: October 31, 2016

Ujumbe wa Francis Cheka Baada ya Taarifa za...

Post Image

Wiki hii imeanza kwa huzuni kwa mashabiki wa mchezo wa ngumi nchini baada ya kifo cha bondia Thomas Mashali hasa baada ya kusikia taarifa za chanzo cha kifo hicho. Mmoja wa watu walioumizwa na taarifa hizo ni Francis Cheka. Kupitia mtandao wa Instagram, Cheka ameandika: Ilikuwa ni heshima kuingia ulingo mmoja na wewe ndugu yangu […]

Read More..

Mastaa Bongo Fleva Wanavyochuana kwa Mikoko...

Post Image

WASANII wa Marekani walitangulia kwa muda mrefu kabla wasanii wetu wa Bongo Fleva hawajaanza kuimba. Pamoja na majumba ya kifahari, kumiliki biashara mbalimbali, miongoni mwa mambo ambayo waliyafanya baada ya kufanikiwa kimuziki ni pamoja na kumiliki magari ya kifahari. Kibongobongo pia, wasanii wetu nao hawapo nyuma. Baada ya kuanza kupata mafanikio, wapo wasanii walioonesha heshima […]

Read More..

Wema Sepetu Amuandikia Ujumbe Miss Tanzania...

Post Image

Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu amedai mshindi wa shindano la Miss Tanzania 2016, Diana Edward alistahili kuchukua taji hilo. Kupitia Instagram, Wema ameandika: When You Nailed that question Properly, I knew that The Crown was Yours…. Congratulations mdogo wangu… You deserve it… And I have a very good feeling about Your performance in the Miss […]

Read More..

Baba Mashali Asimulia Mazito Kifo cha Mwana...

Post Image

BABA mzazi wa aliyekuwa bondia wa ngumi za kulipwa, Thomas Mashali ‘Simba asiyefugika’, Malifedha Christopher Mashali amesimulia namna alivyoguswa na kifo cha mwanaye huyo kilichotokea usiku wa kuamkia leo Kimara jijini Dar. Akizungumza na mtandao huu, nyumbani kwake Tandale kwa Mtogole jijini Dar, mzee Mashali alisema taarifa za kifo cha mwanaye alizipata leo alfajiri kupitia […]

Read More..

Duma wa Siri ya Mtungi Kuachia ‘Chun’ta...

Post Image

Msanii wa filamu Daudi Michael Tairo, anayefahamika zaidi kwa jina la Duma ndani ya tamthilia ya Siri ya Mtungi, amejipanga kuachia filamu yake mpya iitwayo ‘Chun’tama’. Mwigizaji huyo ameiambia Bongo5 kuwa filamu hiyo itakuwa inazungumzia maisha halisi wa watanzania pamoja na masuala ya uchawi. “Baada ya kufanya vizuri katika filamu yangu ya ‘Mchongo Sio’ nikaona […]

Read More..