-->

Monthly Archives: February 2017

Watanzania Waliomba Majina ya Watumia ‘Un...

Post Image

Dar es Salaam. Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amesema kutajwa hadharani kwa wahusika wa dawa za kulevya kumetokana na maombi ya Watanzania chini ya uongozi wa awamu ya nne. Makonda amesema katika uongozi wa Rais Jakaya Kikwete alipigiwa kelele ili awataje wahusika wa dawa za kulevya lakini aliamua kuacha vyombo vyenye […]

Read More..

Martin Kadinda Aanika Kinachomponza Wema Se...

Post Image

MWANAMITINDO Martin Kadinda, amefunguka kuwa kinachomponza Wema hadi ajikute anaingia kwenye misala mbalimbali ya kipolisi ni watu wanaomzunguka. Kadinda ambaye pia ni meneja wa msanii huyo, alisema ili Wema aweze kufanikiwa maishani, hana budi kuwaweka pembeni baadhi ya marafi ki ambao wana tabia chafu kwani mara nyingi wamekuwa wakimsababishia matatizo mbele ya jamii. “Siwezi kuwataja […]

Read More..

TID Kumshtaki Steve Nyerere, ni Baada ya Ku...

Post Image

Msanii mkongwe wa muziki Khalid Mohamed ‘TID’ ameahidi kuwachukulia hatua watu wanaosambaza taarifa kuwa alipewa pesa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda kama kivuli katika sekeseke la kutaja majina ya wanaohusika na dawa za kulevya. Muimbaji huyo alisema yeye alikuwa ni muathirika wa dawa za kulevya na serikali ilimkamata kwa kosa […]

Read More..

Matatizo Yamemfunza – Shamsa Ford

Post Image

Msanii wa filamu nchini Shamsa Ford ambaye siku za karibuni muwewe alipatwa na maswahibu na kujikuta chini ya mikono ya polisi kwa tuhuma za kujihusisha na matumizi au kufanya biashara ya madawa ya kulevya. Inawezekana kufuatia matatizo aliyopata muwe wake, Shamsa Ford amepata kujifunza kuwa siku zote watu ambao wewe unaweza kuwaona ni marafiki wakawa […]

Read More..

Steve Nyerere Aongea na Wanahabari, Amkaang...

Post Image

Msanii wa filamu nchini Steven Mengele a.k.a Steve Nyerere amefanya mkutano na waandishi wa habari kwenye Ukumbi wa Millenium Tower, Makumbusho jijini dar es Salaam. Steve Nyerere: Naomba radhi kwa watu wote ambaye nimewataja mule ndani kwenye ile sauti iliyosambaa kwenye Mitandao ya Kijamii(audio), nilifanya kwa kulinda chama changu na sikutaka dada yangu aniache. Nia […]

Read More..

Wastara Atapeliwa Mamilioni

Post Image

STAA wa filamu za Kibongo, Wastara Juma (pichani) amejikuta katika wakati mgumu baada ya kutapeliwa mamilioni ya fedha na kampuni moja ya simu ya Wachina baada ya kuingia nao mkataba wa kuwa balozi wao hapa nchini. Wastara aliingia mkataba na Wachina hao mwaka jana ambapo alitakiwa awe analipwa shilingi milioni 400 kwa mwaka lakini ghafla […]

Read More..

VIDEO: Mzee wa Upako Amuonya Nay wa Mitego ...

Post Image

Baada ya hivi karibuni msanii wa hip hop, Nay wa Mitego kutangaza kuwa atafungua kanisa lake ambalo litakuwa si la biashara bali ni la kumuabudu Mungu aliye hai, Mchungaji maarufu nchini, , Lusekelo Anthony aka Mzee wa Upako amemuonya kutomchezea Mungu. Mzee wa upako ameyasema hayo alipotafutwa na E-News ya EATV baada ya kuulizwa maswali […]

Read More..

Jackline Wolper: Marafiki Wapya Hutuharibia...

Post Image

MWIGIZAJI wa filamu za Bongo, Jackline Wolper, ameweka wazi kwamba hataki kusikia habari za kuwa na marafiki wapya, kwa madai kwamba ndio wanaoharibu misingi ya maisha yake. Wolper aliliambia MTANZANIA kwamba, wakati wa kupata marafiki wapya huwa mzuri, lakini baadaye hujikuta katika matatizo yasiyokwisha. “Sisi mastaa tuna kazi kubwa, kila siku tunakutana na marafiki wapya […]

Read More..

VIDEO: JPM Ajitokeza Kumsaidia Neema Mwita

Post Image

Rais wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amewapongeza Madaktari wa Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa juhudi kubwa walizofanya kunusuru maisha ya Neema Mwita Wambura ambaye alijeruhiwa kwa kuunguzwa na maji ya moto kifuani, shingoni na mkononi. Pongezi hizo za Mhe. Dkt. Magufuli zimetolewa na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu Bw. Gerson Msigwa muda […]

Read More..

VIDEO: Uwoya afungukia Kutoka na Harmorapa

Post Image

Msanii wa filamu nchini Irene Uwoya amefunguka na kuweka wazi kuwa yeye hajawahi kutoka kimapenzi na Harmorapa na wala hajawahi kukutana na msanii huyo bali amekuwa akimsikia tu akifananishwa na Harmonize na hajawahi hata kukutana naye. Akiongea kwenye kipindi cha KIKAANGONI kinachoruswa mubashara kila siku ya Jumatano kwenye ukurasa wa facebook wa EATV, Irene Uwoya amesema […]

Read More..

Video: Alikiba Alivyovutia mashabiki Kwenye...

Post Image

Alhamis hii, Alikiba alialikwa na ubalozi wa Marekani nchini Afrika Kusini pamoja na IBM kwenda kuhudhuria uzinduzi wa filamu iitwayo, Hidden Figures. Kwenye uzinduzi huo, Kiba alikuwa kivutio kikubwa cha mashabiki waliohudhuria. “It was a heartfelt experience spending the evening with girls who were recently rescued from child trafficking. I pray for your peace and […]

Read More..

Mkutano wa Wema Sepetu na Waandishi wa Haba...

Post Image

Miss Tz 2006, Wema Sepetu na familia yake wamefanya leo mkutano na waandishi wa habarinyumbani kwao Sinza-Meeda. Wema Amewasili na Kuanza Kuongea kama ifuatavyo: ⁠ ⁠Mama wema: Habari za mchana, nawakaribisha ⁠⁠⁠⁠⁠⁠⁠Wema: Kwa jina naitwa Wema Sepeti Isack Abraham ⁠⁠⁠⁠ ⁠⁠⁠⁠⁠⁠⁠⁠⁠⁠Wema: Naomba mnisamehe kwa kufika kwa kuchelewa ⁠⁠⁠⁠ ⁠⁠⁠⁠⁠⁠⁠Wema: ⁠⁠⁠Sitakuwa na mengi ya kuongea, nataka […]

Read More..

Wema Sepetu Ajiunga na CHADEMA Rasmi

Post Image

Chama cha Demokrasia na Maendeleo kunatarajia kuwakaribisha wanachama wapya waliojiunga leo na chama hicho akiwamo msanii maarufu nchini wa fani ya uigizaji wa filamu, Wema Sepetu (28). Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasilianio wa Chadema, Tumaini Makene amesema leo (Alhamisi) kuwa chama hicho kupitia Mwenyekiti wa Chama Taifa, Freeman Mbowe, baada ya kesi ya […]

Read More..

VIDEO: Jaydee Kutambulishwa Ukweni

Post Image

Mwanamuziki mkongwe katika muziki wa bongo fleva, Lady Jaydee amefunguka na kusema mwezi wa nne mwaka huu anategemea kutambulishwa ukweni kwa mchumba wake Spicy nchini Nigeria. Mbali na hilo Lady Jaydee amewataka watanzania pamoja na vituo mbalimbali vya radio kuacha uchonganishi kwa kuwapambanisha wasanii kwani kwa kufanya hilo ndiyo inajenga chuki na kufanya mashabiki waanze […]

Read More..

Irene Uwoya: Natamani Kuwa Mchungaji wa Kan...

Post Image

Muigizaji wa filamu Bongo, Irene Uwoya, amesema ndoto yake kubwa tangu akiwa mtoto ni kuwa mchungaji wa kanisa. Akiongea kwenye Kikaango Live cha EATV, Uwoya amedai kuwa tangu akiwa mdogo alikuwa akiomba aje kuwa mchungaji kitu ambacho hata mama yake anajua. Anadai kuwa alikuwa na uwezo hata wa kumuombea mtu na mambo yake yakanyooka. Na […]

Read More..

Lissu Kumtetea Wema

Post Image

Dar es Salaam. Wakati Wakili Tundu Lissu akijitokeza kumtetea msanii maarufu wa fani ya uigizaji wa filamu, Wema Sepetu katika kesi ya kukutwa na bangi, mrembo anayepamba video za wasanii nchini, Agnes Gerald maarufu Masogange (28) amepandishwa kizimbani kwa tuhuma za kutumia dawa za kulevya. Lissu ambaye pia ni Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), alijitokeza […]

Read More..

Jide Ataka Kulinda Heshima

Post Image

MKONGWE wa Muziki wa Kizazi Kipya, Judith Wambura maarufu kama Lady Jaydee, amesema uzinduzi wa albamu yake ya saba unalenga katika kulinda heshima yake katika sanaa alikodumu kwa miaka 16 sasa. Albamu hiyo, Woman itazinduliwa mwezi ujao katika eneo ambalo bado halijatajwa na itahusisha baadhi ya nyimbo zake zinazovuma hivi sasa kama Ndindindi, Together na […]

Read More..

Dawa za Kulevya Zimewashusha Wasanii- Izzo ...

Post Image

RAPA Izzo Bizness, anayetamba na wimbo wa ‘Umeniweza’, ameweka wazi kwamba dawa za kulevya ndizo zilizoshusha viwango vya baadhi ya wasanii wa muziki wa Bongo Fleva nchini. Izzo alidai hataki kuingia ndani zaidi katika masuala hayo, lakini anaamini wasanii wengi wa muziki huo wameshuka viwango vyao vya kuimba na kutunga kutokana na matumizi ya dawa […]

Read More..