Daily Archives: May 27, 2017

Wasanii Vinara kwa Ushirikina Watajwa

Post Image

Meneja wa wasanii wa bongo fleva maarufu kwa jina la Meneja Maneno, amefunguka na kusema wapo wasanii wengi Bongo wanaamini ushirikina na kukiri kuwa wapo wasanii wengine ambao yeye mwenyewe aliwapeleka kwa waganga wa kienyeji kwa ajili ya kuroga. Meneja Maneno aliyewahi kuwa meneja wa Diamond Platnumz, Rich Mavoko, Sam wa Ukweli na Nay wa […]

Read More..

VIDEO:Nitaenda Uganda Kumzika Ivan – Diam...

Post Image

Muimbaji huyo amesema hayo mbele ya wanafunzi wa Chuo kikuu cha Nairobi, katika kipindi cha The Trend kilichokuwa kinaruka moja kwa moja kupitia runinga ya NTV. “Kiukweli umekuwa wakati mgumu na mpaka sasa umekuwa wakati mgumu, nilikuwa nipo booked muda kidogo kuhusiana na msiba umetokea, sasa kucancel to ghafla show ya watu unajua inawezekana ukapata […]

Read More..

Mzee Yusuph Ataka Nyimbo Zake Zifutwe

Post Image

Aliyekuwa mfalme wa muziki wa miondoko ya pwani ‘taarab’, Mzee Yusuph amewataka watu wote waliokuwa na nyimbo zake kwenye simu wafanye hima kuzifuta kwa madai wakiendelea kuzisikiliza watampatisha dhambi katika hilo. Mzee Yusuph amefunguka hayo ikiwa ni masaa machache yamebakia kwa waumini wa dini ya kiislamu kuanza ibada yao ya kufunga mwezi mtukufu wa Ramadhani. […]

Read More..