Daily Archives: May 30, 2017

Mrisho Mpoto Amlilia Mzee Ngosha, Anayedaiw...

Post Image

Msanii wa muziki wa kughani nchini Tanzania, Mrisho Mpoto amesikitishwa na kifo cha Mzee Francis Kanyasu aliyechora Nembo ya Taifa na kusema anatamani siku zirudi nyuma ili aweze kuongea naye tena. Mpoto amefunguka hayo kupitia ukurasa wake wa instagram kwa kudai Mzee huyo alishawahi kumsaidia kumpa wazo la kufanya video ya wimbo wake wa ‘Njoo […]

Read More..

Magari ya Kifahari Yatawala Msiba wa Mume w...

Post Image

Uganda. Magari ya kifahari yameonekana leo katika mazishi ya bilionea Ivan Ssemwanga yaliyofanyika nyumbani kwao Kayunga jijini Kampala. Ivan aliyekuwa mume wa Zari Hassan maarufu ‘Zarithebosslady’ ambaye kwa sasa ni mpenzi wa Diamond Platnumz, alifariki dunia wiki iliyopita baada ya kupata kiharusi na kuwa katika hali ya koma kwa wiki mbili mfululizo katika hospitali ya […]

Read More..

Shamsa Ford Apigia Saluti Wabongo wa Instag...

Post Image

Msanii wa filamu bongo, Shamsa Ford amefunguka mapya kwa kudai laiti watu wangekuwa wanaitumia vizuri mitandao ya kijamii basi wangekuwa wamefika mbali kimaendeleo lakini wamebakia katika kutengenezea mambo ya uongo tu. Shamsa amebainisha hayo kupitia ukurasa wake wa instagram baada ya kukerwa muda mrefu na watu wanaopenda kutumia mitandao ya kijamii kuanzisha mijadala ambayo haina […]

Read More..

Sitegemei Mwanaume Kufanya Kazi Zangu- Aish...

Post Image

AISHA Bui mwigizaji wa filamu wa kike amefunguka kwa kusema kuwa yeye katika kuandaa kazi zake za filamu hakuna mchango wowote anaotegemea kutoka kwa mwanaume bali ni kazi ya jasho lake hawezi kuandaa sinema yake na kusubiri hela kutoka kwa Pedeje. “Kazi ya utengenezaji wa filamu kwangu naichulia kama sawa na biashara nyingine, hivyo ninavyotengeneza […]

Read More..

Maajabu ya Pacha Walioungana, Wajikuta Kati...

Post Image

Jana tuliishia sehemu inayoeleza jinsi pacha hawa walioungana, Maria na Consolata, wanavyochangia hisia za baadhi ya viungo vyao. Pengine ni kuchangia huko kwa hisia za viungo, kumefanya wawe pia na hisia moja katika masuala ya kimaisha. Wawili hawa wanahisia moja ya kimapenzi. Sasa endelea… Si rahisi kufikiria maisha ya ndoa ya Maria na Consolata kwa […]

Read More..

Ivan Kuzikwa Leo, Zari Aahidi Kuwaangalia W...

Post Image

Baada ya Jumatatu hii mwili wa Ivan Ssemwanga kuagwa na kufanyiwa ibada takatifu, aliyekuwa mke wa zamani wa marehemu, Zari Hassan alipata fursa ya kuzungumza kwa mara ya kwanza. Katika misa ya mazishi iliyofanyika kwenye kanisa la Namirembe mijini Kampala, Uganda Jumatatu hii, Zari alionekana akiwa ametulia na akizungumza na wanae. Alipoitwa kuzungumza madhabahuni, watu […]

Read More..

Uchumi Umeyumba Sana – Mzee Yusuf

Post Image

Aliyekuwa mmiliki wa band ya Jahazi Modern Taarab, Mzee Yusuf amefunguka na kusema toka ameamua kuachana na biashara ya muziki na kumrudia Mungu maisha yake yameyumba sana lakini amekuwa na amani, furaha na maisha hayo kuliko kipindi cha nyuma. Mzee Yusuf amesema wakati anafanyakazi ya muziki alikuwa na maisha bora sana na kufanya vitu ambavyo […]

Read More..