Daily Archives: May 14, 2017

VIDEO: Alikiba ana Roho Ngumu – Husse...

Post Image

Hussein Machozi amesema ‘team’ katika muziki wa bongo fleva zimekuwa nzuri kwani zinafanya mashabiki waendelee kukomaa na msanii wao ila anasema yeye hawezi kwani hana roho ngumu kama Alikiba ambaye anatukanwa na watu mitandaoni na kukaa kimya. Hussein Machozi amesema hayo alipokuwa kwenye kipindi cha eNewz na kusema yeye mtu akimtukana kwenye mitandao ya kijamii […]

Read More..

Mc Pilipili, Rose Ndauka Muwaache!

Post Image

TASNIA ya uchekeshaji imeendelea kupiga hatua na kuonyeha tofauti ya wazi baina ya wachekeshaji wa zamani na wa kizazi hiki. Wachekeshaji wa zamani walishindwa kunufaika na sanaa yao kutokana na ukosefu wa uwekekezaji katika vipaji vyao lakini kwa sasa wachekeshaji wanakula bata kutokana na fedha wanazoingiza kupitia sanaa yao. Miongoni mwa wachekeshaji wanaotengeneza pesaa ndefu […]

Read More..

Flaviana Matata: Mwanamitindo, Mjasiriamali...

Post Image

Miaka 10 iliyopita Flaviana Matata aliibuka mshindi katika mashindano ya Miss Universe nchini. Huenda wengi walimchukulia kama washindi wengine ambao hufurahia umaarufu na zawadi kisha hupotea. Miaka 10 baadaye Flaviana si tu jina maarufu nchini kama yalivyo mengine, ni super model, mjasiriamali na mwanaharakati anayesaidia wenye uhitaji. Amefanyakazi na makampuni makubwa katika kazi yake ya […]

Read More..

Faiza Akumbushia Enzi za Penzi Lake na Sugu

Post Image

Mwigizaji Faiza Ally ameleza jinsi mahusaino ya kimapenzi yalivyokuwa yanamsumbua katika kipindi cha miaka mitatu iliyopita hali iliyopelekea yeye kuugua mara kwa mara. Kupitia instagram Faiza amepost picha akiwa kitandani na kuandika, ‘‘Kuna mambo sasa hivi nikiangalia nacheka sana … haya mapenzi jamani, hapo ni miaka mitatu iliyopita nilikuaga namlilia Baba Sasha mpaka natundikiwa drip […]

Read More..

New Video: Harmorapa Kaachia Video ya ‘NU...

Post Image

Harmorapa alianza kukiki kwenye mitandao kiutaniutani ambapo baadae Producer maarufu P Funk Majani alimuona na kukutana nae kwenye studio za Bongo Records, alimsifia kuwa anapenda kujifunza na ni mwepesi pale anapoelekezwa. Sasa Harmorapa kaanza kuachia ngoma zake ambapo hapa kamshirikisha  Ronei na Mkongwe mwingine wa Bongofleva Cpwaa, ukishaitazama hii usisahau kuacha na comment yako ili […]

Read More..

Hawaitakii Mema Ndoa Yangu – Shamsa Ford

Post Image

Mwigizaji Shamsa Ford amefunguka na kusema kuna watu wengi wamekuwa si watu wema katika ndoa yake, na wamekuwa wakihangaika kuona ndoa yake hiyo inapotea au hata kuvunjika kabisa. Shamsa Ford amesema kutokana na vitendo mbalimbali ambavyo amekuwa akivishuhudia ni wazi kuwa watu wanampiga vita na kutaka kuisambaratisha ndoa yake hiyo, jambo ambalo anasema Mungu hawezi […]

Read More..