Daily Archives: May 29, 2017

Sura za Wanaume Hazinisumbui- Shamsa Ford

Post Image

MREMBO anayefanya vyema kwenye filamu nchini, Shamsa Ford, ameibuka na kuwataka wasichana wenye majina kuacha kuchagua wanaume wa kuwaoa kwa sura zao bali waangalie tabia zao. Shamsa alisema wasichana wengi wamekuwa na tabia ya kupenda wanaume kwa sura zao, lakini yeye anashauri waangalie tabia zao. “Natoa ushauri huu kwa wanawake wezangu hasa hao wanaojiona mastaa, […]

Read More..

P-Funk Majani Atoboa Siri ya Kupumzika Muzi...

Post Image

Mkongwe katika utayarishaji wa muziki bongo, P. Funk Majani ameweka wazi chanzo cha kupumzika kwa muda mrefu katika uandaaji wa muziki wa bongo fleva ni maslahi madogo ambayo hayakuwa na manufaa kwenye maisha yake. Majani amefunguka hayo kwa mara ya kwanza ndani ya Planet Bongo ya East Africa radio na kusema kwamba alilazimika kuachana na muziki […]

Read More..

Kiingereza Kikwazo Kwetu- Jaqueline Wolper

Post Image

MSANII wa filamu nchini, Jacqueline Wolper, ameweka wazi kwamba wasanii wengi wa Tanzania wanashindwa kufanya filamu na wasanii wa nje kwa sababu hawaifahamu vyema Lugha ya Kiingereza. Wolper alisema kwake lugha ya kiingereza ni changamoto kubwa ndiyo maana hawezi kufanya filamu za kushirikiana na wasanii wa nje kama baadhi ya wasanii wanavyofanya. “Wasanii wachache ndio […]

Read More..

Msanii Sio Malaika – Irene Uwoya

Post Image

Malkia wa filamu Bongo, Irene Uwoya amefunguka kwa kusema anachukizwa na tabia za baadhi ya mashabiki waliopo mitandaoni kushindwa kutoa ushauri kistaarabu na badala yake kuanza kuwashambulia kwa kuwatukana. Uwoya ameeleza hayo baada zile kelele za wasanii wengine kudai mashabiki zao ndiyo wamekuwa vinara katika kuwakosoa pindi wanapokuwa wame-post kazi zao hata muda mwingine maisha yao […]

Read More..

Avamia Mghahawa Zanzibar na Kuchoma Watu vi...

Post Image

Zanzibar. Watu sita wakiwemo wanne raia wageni kutoka nje ya Tanzania wamejeruhiwa vibaya kwa kuchomwa na kisu usiku wa kuamkia leo katika mgahawa wa Lukman Mkunazi Mjini Zanzibar. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja, Hassan Nassir Ali alizungumza na waandishi wa habari jana ofisini kwake leo amesema kuwa tukio hilo limetokea saa 1:20 […]

Read More..