Daily Archives: May 6, 2017

Faraja Nyalandu na Hoyce Temu Walitumia Uch...

Post Image

Na RAMADHANI MASENGA KWANZA huanza kwa kupita jukwaani. Kisha yanafuata ni mambo ya ubunifu. Baadaye ndipo huanza kuulizwa maswali. Moja kati ya maswali wanayoulizwa mamisi wetu ni pamoja wapi ulipo Mlima Kilimanjaro, Baba wa Taifa alizaliwa mwaka gani na Ziwa Tanganyika linapatikana mkoa gani. Baada ya hapo mambo mengine hufuata. Kisha jina la mshindi hutajwa. […]

Read More..

Jennifer Lopez Alizingua – Shilole

Post Image

Msanii Shilole amefunguka na kutoa sababu zilizopelekea yeye kushindwa kufanya ngoma na msanii Jennifer Lynn Lopez, alimaarufu kama JLo na kusema aliona anamzingua hivyo ikabidi aachane naye. Shilole alisema hayo alipokuwa kwenye kipindi cha KIKAANGONI na kudai kweli alionana na meneja wa msanii huyo na kuongea naye lakini baadaye ilishindikana kwa sababu yeye Shilole alishindwa […]

Read More..

Mwanaheri Awatahadharisha Wabunge Wanaomsum...

Post Image

STAA wa filamu za Kibongo, Mwanaheri Ahmed amesema kuwa anawatahadharisha wabunge wanaomsumbua mitandaoni na kwenye simu yake kuwa wakiendelea atawataja kwani anawaheshimu sana. Akizungumza na Risasi Jumamosi, Mwanaheri alisema kuwa kutokana na shepu aliyonayo amekuwa akisumbuliwa na wabunge tofauti kupitia akaunti yake ya Instagram ambapo humfuata DM na kwenye simu yake kumuomba kuingia naye kwenye […]

Read More..

Unauza Filamu Elfu 6 kwa Hali Gani ya Maish...

Post Image

Mchekeshaji Steve Nyerere ameendelea kufunguka mambo mengine mapya kwa kudai kinachosababisha kufa kwa filamu za bongo ni wasanii wenyewe kushindwa kutambua ushidani wa kibiashara katika soko ukoje. Steve amebainisha hayo kupitia kipindi cha eNewz huku akisema adhani kama wanapaswa kuendelea kushindana na wamachinga wanaosambaza na kuuza ‘CD’ katika soko la Karikakoo kwa kuwa wao wanachokiuza […]

Read More..

Diamond, Kiba Wametuangusha!

Post Image

SALAAM Watanzania wenzangu. Ni matumaini yangu tu wazima wa roho na Mungu ameendelea kutupa imani ya kuishi tukipambana na changamoto mbili, tatu alizotuandikia. Naam, sote tunaishi kulitimiza agano. Hakuna mjanja kati yetu anayeijua kesho wala mwenye kiburi cha kuirejesha jana, yatupasa kushukuru kwa kila pumzi tunayoitoa bila kujali tupo katika mazingira gani. Tuseme ahsante Mungu […]

Read More..

Rais Magufuli Atuma Salamu za Rambirambi kw...

Post Image

Dar es Salaam. Rais John Magufuli ametoa salamu za rambirambi kwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo wanafamilia, ndugu, jamaa na marafiki kwa vifo vya wanafunzi, walimu na dereva vilivyotokea leo saa 3.00 asubuhi baada ya gari walilokuwa wakisafiria kupata ajali katika eneo Rhotia Marera, Wilaya ya Karatu Mkoani Arusha. Rais Magufuli amepokea kwa […]

Read More..

Watu 32 Wafariki Katika Ajali ya Basi Karat...

Post Image

Ajali mbaya imetokea Karatu Arusha katika mlima Rhotia baada ya basi dogo la St Lucky ya Arusha aina ya Coaster lililokuwa limebeba wanafunzi kutumbukia kwenye korongo na kusadikiwa kusababisha vifo kwa wanafunzi kadhaa.   Kamanda wa Polisi mkoani Arusha Charles Mkumbo amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo na kusema ajali hiyo imetokea baada ya basi hilo kuacha […]

Read More..