Daily Archives: May 24, 2017

VIDEO: Wasanii Tupunguze Bata – Riyama

Post Image

Msanii wa filamu nchini Riyama Ally amefunguka na kutoa sababu kubwa zilizopelekea tasnia ya movie nchini kushuka kuwa ni pamoja na wasanii kudharau wamashabiki zao, kupuuza maoni ya watazamaji na kufanya vitu visivyoendana na jamii. Riyama alisema hayo kupitia kipindi cha Friday Night Live na na kuongeza kwamba ukiacha dharau ambazo mastaa wamekuwa wakionyesha kwa […]

Read More..

Diamond: 20 Percent Akihitaji Kusaidiwa Nit...

Post Image

MSANII wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul ‘Diamond Platnumz’, amesema ana uwezo wa kumsaidia msanii 20 Percent ili arudi tena kimuziki na kuwa tishio kama mwaka 2011, lakini hadi atake kusaidiwa. Diamond alisema wapo wasanii wanaohitaji msaada katika kazi zao na wanaonyesha utayari wa kusaidiwa, lakini wapo pia wanaohitaji msaada lakini hawaonyeshi utayari wa kusaidiwa. “Kuna […]

Read More..

Rais Magufuli Amng’oa Profesa Muhongo

Post Image

Dar es Salaam. Rais John Magufuli amemtaka Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo kuachia madaraka kushindwa kusimamia suala la mchanga wa dhahabu unaosafirishwa kwenye makontena. Amemtaka waziri huyo kujitathimini na bila kuchukua muda mrefu aachie madaraka kutokana na suala hilo. Rais Magufuli amesema hayo baada ya kamati iliyokuwa ikichunguza suala la mchanga kwenye […]

Read More..

Gigy Afunguka A-Z Kuhusu Picha Zake Chafu n...

Post Image

Baada ya weekend hii kusambaa video chafu ikimuonyesha mwanasheria nguli, Albert Msando akishikana shikana na video vixen, Gigy Money na kuzua taharuki mitandaoni, Gigy amefunguka kuzungumzia sakata hilo A-Z. Akiongea na Bongo5 Jumatatu hii, Gigy amedai wakati akirekodi video hiyo na kuisambaza mtandaoni mwanasheria huyo aliridhia. “Jumapili hii nilienda Arusha na kile mlichokiona ilikuwa ni […]

Read More..

Madam Flora Afunguka Haya kwa Mume Wake

Post Image

Msanii wa nyimbo za injili nchini, Madam Flora amefunguka na kusema mume wake wa sasa Daudi Kusekwa ni mwanaume shujaa kwani ni mtu aliyevumilia mengi. Madam Flora alisema hayo siku ya kuzaliwa kwa mume wake huyo ambayo ilikuwa Jumapili  huku akimtakia maisha marefu na mafanikio mema “Hongera mume wangu Daudi Kusekwa kwa kuzaliwa, Mungu akupe […]

Read More..