Daily Archives: May 10, 2017

Video: Chid Benz afunguka kwa mara ya kwanz...

Post Image

Rapa Chid Benz amefunguka kwa mara ya kwanza tangia atoke Rehab alikokuwa akipata matibabu ya kuachana na matumizi ya madawa ya kulevya na amewaasa vijana watu,iaji wa Tanzania kuacha kabisa mchezo huo. Chid Benz ambaye anaonekana mwenye afya na uso wenye furaha, amesema madawa ya kulevya sio ya kuyazungumzia. Amesema kama mtu hataki kujutia maisha […]

Read More..

Shilole Ashindwa Kufika Mahakamani Kutoa Us...

Post Image

Dar es Salaam. Msanii wa muziki wa kizazi wa Bongo Fleva na filamu, nchini Zuwena Mohamed maarufu kama Shilole ameshindwa kufika mahakamani kutoa ushahidi katika kesi ya matumizi mabaya ya mtandao kwa kuwa anaumwa. Leo (Jumatano) Shilole alipaswa kutoa ushahidi katika kesi hiyo inayomkabili mwanafunzi wa Chuo cha Bandari, Thomas Lucas (20) inayosikilizwa mbele ya […]

Read More..

Nilitaka Kujua Lipumba Amepatwa Nini –...

Post Image

Mchungaji wa Kanisa la Ufufuo na Uzima Dr Josephat Gwajima amefunguka na kusema Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad ni rafiki yake hivyo alitaka kuonana naye ili aweze kujua Professa Ibrahim Lipumba anaharibu vipi chama. Mchungaji Gwajima amesema hayo leo alipokutana na waandishi wa habari baada ya kumaliza mazungumzo na […]

Read More..

Prof. Jay Ameanza Kunielewa- Steve Nyerere

Post Image

Mchekeshaji na muigizaji wa bongo ‘movie’ Steve Nyerere amefunguka mengine mapya kwa kudai hana haja tena ya kuendelea kutukanana na watu wasiojielewa kwa kuwa ameshajitokeza mkombozi wake mwenye akili na kutambua kilio chake kinamaana gani. Steve amesema hayo baada ya kile kinachoaminika kuwa Mbunge wa Mikumi, Mhe. Joseph Haule kusimama mbele ya Bunge la Jamhuri […]

Read More..

Diamond Afunguka Haya Baada ya Profesa Jay ...

Post Image

Msanii Naseeb Abdul aka Diamond Platnumz leo kupitia akaunti yake ya Instagram ameeandika maneno yanayoashiria kutokufurahia hotuba ya mbunge wa Mikumi Joseph Haule a.k.a Prof Jay. Diamond aliandika maeno hayo yanyosomeka “Ndio Maana kwenye Jimbo lako sikuja kupiga kampeni bro…kwakuwa niliijua mapema thamani na umuhimu wa Uwepo wako kwenye hilo jengo….. @professorjaytz Pro .Jay katika […]

Read More..