Daily Archives: May 25, 2017

Wema Sepetu Ampa Pole Zari

Post Image

Muigizaji wa Filamu nchini Tanzania, Wema Sepetu ameshindwa kujizuia kwa kuonesha uchungu alioupata baada ya kusikia taarifa za msiba wa aliyekuwa mwanaume wa Zari ‘Ivan Semwanga’ na kumfariji mzazi mwenzake na marehemu Zari The Boss Lady. Wema Sepetu amesema ameumizwa na taarifa hizo huku akiwaonea huruma watoto wa marehemu ambao amewaacha wakiwa wadogo. “Broken hearted💔💔💔 Rest […]

Read More..

Mzazi mwenzake Zari afariki dunia

Post Image

Dar es Salaam. Mfanyabiashara wa Uganda, Ivan Semwanga amefariki dunia katika Hospitali ya Steve Biko Academic jijini Pretoria, nchini Afrika Kusini. Zari aliyezaa watoto watatu na mwanamume huyo amethibitisha kifo chake kwa kuandika katika mtandao wa Instagram akimtakia pumziko la milele. “Mungu huwaita kwake walio wema ndiyo maana amekuchukua. Umegusa maisha na kusaidia wengi. Nakumbuka […]

Read More..

VIDEO: Chadema awana Shukrani – Wolper

Post Image

Malkia wa filamu bongo, Jacqueline Wolper amefunguka sababu za kuacha kuendelea kuisapoti CHADEMA ni viongozi wa chama hicho kushindwa kuutambua mchango wake alioutoa wakati wa uchaguzi mkuu hali iliyomfanya ajihihisi mpweke na kama ametelekezwa . kiwa ni mara ya kwanza Wolper kufunguka ishu hiyo katika kipindi cha KIKAANGONI kinachorushwa kwenye ukurasa wa facebook EATV, amesema hajawai kuwa […]

Read More..