Daily Archives: May 1, 2017

Baada ya Ndoa ya Pili Flora Afunguka Haya

Post Image

Msanii wa nyimbo za injili Tanzania Flora ambaye alikuwa mke wa Emmanuel Mbasha jana amefanikiwa kufunga ndoa yake ya pili na kijana Daudi Kusekwa baada ya ile ya kwanza kuvunjika na kupeana talaka na Emmanuel Mbasha. Baaada ya kufunga ndoa hiyo jana Flora alisema yeye ana amani ya moyo licha ya watu kuendelea kusema maneno […]

Read More..

Ray C Ataka Kujiua Mara 10

Post Image

MWANAMUZIKI ambaye miaka kadhaa iliyopita alipotea kwenye anga la muziki baada ya kujitumbukiza kwenye matumizi ya madawa ya kulevya, Rehema Chalamila ‘Ray C’, amefunguka jinsi alivyotaka kujiua zaidi ya mara 10 kutokana na kujichukia. Akizungumza na Wikienda katika mahojiano maalum wikiendi iliyopita, Ray C au Kiuno Bila Mfupa alisema kuwa, alifikia uamuzi huo mara kwa […]

Read More..

Roma Mkatoliki Anena Jambo

Post Image

Msanii Roma Mkatoliki ambaye alikuwa akiuguza majeraha baada ya kutekwa na kuumizwa amefunguka na kusema hali yake inaendelea vyema na ameamua kutoka rasmi sehemu aliyokuwepo kwa kufanya misa ya shukrani jana na baada ya hapo aendelee na maisha yake. Roma Mkatoliki ambaye jana aliambatana na mkewe na kufanya Ibada ya misa takatifu ya shukrani kwa […]

Read More..

Video: Diamond Akusanya Kijiji Kwenye Show ...

Post Image

Msanii wa muziki, Diamond Platnumz, Jumapili hii amefanya show ya nguvu katika tamasha la ‘Mosi Day of Thunder Music Festival’ la nchini Zambia.   Muimbaji huyo aliwashukuru mashabiki wa nchi hiyo kwa kujitokeza kwa wingi katika show yake. “MY SHOW LAST NIGHT IN LIVINGSTONE ZAMBIA…. Mama see how much Zambia loves your Son… i hope […]

Read More..