Daily Archives: May 18, 2017

Shamsa Ford Atoa Funzo kwa Mastaa wa Kike

Post Image

Muigizaji wa Filamu nchini Tanzania, Shamsa Ford amefunguka kwa kuwaonya Mastaa wa Wanawake waache tabia za kuchagua wanaume wa kuwaoa, kwani leo wana majina makubwa na wanaonekana warembo lakini ipo siku itafika hata hao wanaume wanaowatongoza leo watapotea kabisa. Shamsa Ford amesema kwa sasa Wanawake wenye majina makubwa wanajiona warembo kiasi kwamba hufikia hatua hata […]

Read More..

Mwanaume Mfupi Kwangu Hapana – Shilole

Post Image

Msanii Shilole amefunguka na kuweka wazi kigezo kimoja wapo anachoangalia katika kumkubali mtu au kumtokea kuwa kuwa naye katika mahusiano na kusema kimo cha mtu kwake ni kigezo moja wapo. Shilole alisema hayo alipokuwa kwenye kipindi cha KIKAANGONI kinachofanyika kupitia ukurasa wa facebook wa EATV, wiki mbili zilizopita na kudai saizi yeye kutoka kimapenzi na […]

Read More..

VIDEO : Mboto Afunguka Mastaa Kubadili Wape...

Post Image

Msanii Mboto amefunguka sababu inayopelekea watu wengi wenye majina makubwa kubadili wapenzi mara kwa mara na kusema wengi wao wanakuwa na hofu juu ya wapenzi wanaowafuata na kutaka kuwa nao maana wanakuwa hawajui kama wanamapenzi ya dhati au wizi. Msanii Mboto amefunguka sababu inayopelekea watu wengi wenye majina makubwa kubadili wapenzi mara kwa mara na […]

Read More..

Wasanii Wakongwe Wametuharibia- Shifah

Post Image

MWIGIZAJI chipukizi kutoka tamthilia ya Siri za familia Sharifa Mansoor ‘Shiffer’ amesema kuwa uigizaji ni kazi sawa na kazi nyingine lakini walioanza walitumia fursa yao vibaya kwa kufanya mambo yasiyofaa kujikita katika masuala ya kashifa kitu kilichopelekea jamii kudharau fani hiyo. “Haikuwa rahisi nilipoomba familia yangu kujiunga na Siri za familia kila mtu alisema kuwa […]

Read More..