Daily Archives: May 5, 2017

Upelelezi wa Kesi ya Aliyejitosa Baharini W...

Post Image

Zanzibar. Wakati Polisi Zanzibar ikisema imekamilisha kumhoji msichana aliyejitosa Bahari ya Hindi eneo la Chumbe alipokuwa akisafiri na boti ya Kilimanjaro (V) kutoka Dar es Salaam kwenda Zanzibar, mtaalamu anasema binti huyo amethirika kisaikolojia ni bora angeachwa apumzike. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja, Hassan Nassir Ali aliliambia gazeti hili jana kuwa, msichana […]

Read More..

Yusuph Mlela Atoa Angalizo Hili kwa Wanaota...

Post Image

Muigizaji wa filamu za Bongo Yusuph Mlela amefunguka na kudai kwamba wapo tayari kupambana na mtu anayetafsiri filamu za nje kwa lugha ya Kiswahili na kuziuza kwa bei rahisi, ili kunusuru soko la filamu  la ndani lizisije kufa. Mlela ameongeza kuwa wao kama wasanii wasipoonyesha juhudi za kupigania soko la filamu basi kizazi chao kitakuwa hakijaonyesha […]

Read More..

Scene za Mapenzi Zamtesa Mwanaheri

Post Image

MWIGIZAJI wa Bongo Muvi, Mwanaheri Ahmed, amefunguka kuwa, suala la kucheza ‘sini’ (scene) za kimapenzi kwenye filamu huwa linamtesa hasa linapokuja suala la kumlaghai mwanaume. Akipiga stori na Showbiz Xtra , Mwanaheri alisema kuwa, pamoja na mwigizaji kupaswa kuvaa uhusika wa scene yoyote ile unayopangiwa, lakini kwake uhusika wa mapenzi huwa unamtesa na kumnyima usingizi. […]

Read More..

Kidoa: Nampenda Diamond Kiukweli

Post Image

MREMBO anayepamba video za wasanii mbalimbali wa muziki wa Bongo Fleva, Asha Salum (Kidoa), ameweka wazi kwamba anampenda msanii Nasibu Abdul (Diamond Platnumz) ndiyo maana anataka kufanya naye kazi. “Nampenda Diamond Platnumz kwa kuwa ana mvuto na anajitambua anachofanya huku akithamini kipaji chake kwa kufanya kazi kwa bidii pia kitu ambacho kinanivutia kwake zaidi ni […]

Read More..

Nitaandamana Kwa Filamu Nzuri – Gabo ...

Post Image

Muigizaji wa filamu bongo anayesifiwa kwa kufanya vizuri, Gabo Zigamba amefunguka na yeye maandamano yake anayafanya kwa kutengeneza kazi bora kwa mashabiki zake waliompa nafasi ya kuonekana a siyo kuhofia soko kushuka. Gabo amefunguka na kusema kuwa katika kuhakikisha soko linasimama na kuwa imara yeye ameamua kutengeneza kazi nzuri haswa katika kipindi hiki ambacho wasanii […]

Read More..