Daily Archives: May 12, 2017

Antu Mandoza Msomi Mwenye Bahati Kuigiza Fi...

Post Image

Apania kutwaa Tuzo za Oscar kama Lupita BONGO movie huwezi kupata bahati ya kuingia moja kwa moja na kupewa thamana kuingiza kama mwigizaji kinara, ni mamisi tu ndio wenye bahati hiyo lakini mwingine lazima asote, kwa Antu Mandoza ‘Miss Mandoza’ mwigizaji kinara katika filamu ya Kiumeni ni tofauti, yeye sinema yake ya kwanza anapewa nafasi […]

Read More..

AliKiba Mwendo Wake wa Kobe Ila Mambo Yake ...

Post Image

Alikiba aka King Kiba ni kati ya wanamuziki wa Africa ambao wanashabikiwa na kuwa na umaarufu wa hali ya juu. Hii yote inatokana na utamu wa sauti aliyojaliwa nayo, na kipaji cha mashairi matamu ambayo kwakweli yamekuwa yakiwaburudisha mashabiki lukuki Duniani. Alikiba ambaye kwasasa yuko chini ya kampuni kubwa ya muziki Duniani Sony Music, anauwezo […]

Read More..

VIDEO:Young Dee: Sijatelekeza Mtoto Wangu

Post Image

Msanii Young Dee a.k.a Pakarasta amesema yeye hawezi kulea mtoto wake na wala hajui ulezi na ndiyo maana mtoto wake amempeleka kwa mama yake ili aweze kupata malezi mazuri na misingi ya kiimani zaidi. Young Dee amebainisha hayo baada ya kuenea kwa taarifa mbalimbali kutoka katika mitandaoni ya kijamii ambazo zilikuwa zikidai msanii huyo amemtelekeza mtoto […]

Read More..

VIDEO: Aliyeliombea gari lisichukuliwe na m...

Post Image

Video moja inayomwonyesha mkazi wa Morogoro Bw. Nyangusi Laiser akiwa anaombea gari lake aina ya Toyota Land Cruiser lisichukuliwe na mafuriko, liligeuka kuwa burudani kwenye mtandao baada ya kusambaa sana kwenye mtandao. Bw Laiser aliandika kwenye ukurasa wake wa Fesibuku siku ya Jumanne, ambapo tukio lilitokea, kwamba alikuwa kwenye gari na mke wake pamoja na […]

Read More..

Jokate: Sasa Nawaza Noti Tu

Post Image

MWANAMITINDO Jokate Urban Mwegelo ‘Kidoti’ amefunguka kuwa, misukosuko aliyokumbana nayo kwenye maisha ya kimapenzi imetosha kwani kama ni maumivu ameshayaonja na sasa hakuna anachowaza zaidi ya kujirundikia noti kwa kufanya kazi kwa nguvu. Akizungumza na Akizungumza Ijumaa, Jokate ambaye pia ni Kaimu Katibu wa Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi wa Umoja wa Vijana wa Chama […]

Read More..