-->

Daily Archives: May 21, 2017

P Funk Majani Amfunguka Haya Tena Kuhusu Fi...

Post Image

Mtayarishaji Mkongwe wa bongo fleva, P Funk Majani amemmwagia sifa rappa Fid Q na kusema kwamba ndiye msanii bora wa siku zote kwa kuwa ni mtu mwenye misimamo na hajawahi kubadilika kufuata upepo wa muziki bali amesimamia misingi ya hip hop. Majani amemwaga sifa hizo kwenye heshima ya Planet Bongo ya East Africa radio, Ijumaa hii […]

Read More..

Amber Lulu Mtu Wangu – Harmorapa

Post Image

Msanii Harmorapa amefunguka na kusema hakumlipa Amber Lulu ili wapige picha bali walikuwa pamoja sehemu ambapo matukio hayo yalitokea kwa kuwa wao ni watu wa karibu sana. Harmorapa anasema kuwa hakuwa na sababu ya kumlipa msanii huyo kwa kuwa wao ni wapenzi , hivyo walipiga hizo picha wakiwa katika mambo yao ya kawaida yanayowakutanisha. “Amber Lulu […]

Read More..

NDANI YA BOKSI : Anguko la Bongo Movie lili...

Post Image

Inasemekana soko la filamu za Kitanzania linadoda kila uchao. Katika harakati la kuliokoa, Aprili 19 mwaka huu, wasanii wa filamu waliandamana na kufanya mkutano mkubwa kuwahi kuratibiwa. Hata hivyo, mkutano huo ulidhihirisha pia kuwa wasanii wenyewe hawajui nini hasa kiini cha kuanguka kwa tasnia yao. Kwa mfano wakati wakiandamana na kuimba vibwagizo vya “Hatutaki movie […]

Read More..

Sina Hata Bajaji – Riyama

Post Image

Msanii wa bongo movie Riyama Ally amefunguka na kusema licha ya kufanya kazi ya filamu kwa miaka zaidi ya 15 lakini hajapata mafanikio yale ambayo watu wanategemea angekuwa nayo kutokana na uwezo wake wa kuigiza. Rihaya Ally alisema hayo jana alipokuwa kwenye kipindi cha Friday Night Live na kusema hakuna kitu kinaumiza kama unapofanya biashara […]

Read More..