Daily Archives: May 22, 2017

Diamond Afungukia Swala la Zari Kumtembelea...

Post Image

Msanii wa muziki, Diamond Platnumz amedai ameshindwa kupost chochote kumtakia hali aliyekuwa mpenzi wa zamani wa Zari, Ivan ambaye amelazwa hospitali, kwa madai ataonekana anatafuta kiki.   Muimbaji huyo amedai amekuwa akimhimiza mpenzi wake Zari kwenda kumtakia hali mzazi mwenzake huyo. “Ni kweli mzazi wake Zari anaumwa, na yuko serious. Na kila siku huwa namuhimiza […]

Read More..

VIDEO: Kala Jeremiah Aumendea Urais

Post Image

Msanii wa hip hop ambaye anafanya vizuri na hit ya Wananduto Kala Jeremiah amefunguka na kusema hawezi kugombea ubunge kwani tayari ameshafanya kazi hiyo kwa miaka mingi na sasa anasubiri muda ufike aweze kugombea nafasi ya Urais. Mbele ya kamera za eNewz Kala amesema kuwa kwa muda mrefu ameshaombwa na wanasiasa mbali mbali pamoja na […]

Read More..

Kumbe Tatizo ni Kanumba

Post Image

KWA muda mrefu sasa kumekuwa na mijadala kwenye mitandao ya kijamii na hata katika vinywa vya mashabiki wa filamu za Kitanzania wakibishana kuhusu tasnia ya Bongo Movie, wapo wanaoamini imekufa na wengine kupinga jambo hilo. Hata baadhi ya wasanii wa tasnia hiyo wenyewe wamegawanyika pia, kuna wanaamini ndio basi tena na wengine wakisema bado inaendelea […]

Read More..

Majeruhi wa Lucky Vincent wazungumza kwa ma...

Post Image

Marekani. Madaktari wa Hospitali ya Mercy, ya Marekani wamesema watoto watatu majeruhi wa ajali ya Lucky Vincent, wanaendelea vyema. Mbunge wa Singida Kaskazini, Lazaro Nyalandu ameandika katika ukurasa wake wa faceboook kuwa watoto hao Saidia Ismael, Doreen Mshana na Wilson Tarimo watapelekwa katika makazi maalum ya kuangalia afya zao ikiwa ni pamoja na kupewa mazoezi […]

Read More..

Riyama: Bila Milioni Nne Hapana

Post Image

NGULI wa filamu Tanzania, Riyama Ally, amefunguka na kuweka wazi kuwa hawezi kucheza filamu ya kitajiri bila kulipwa Sh milioni nne. Akizungumza na MTANZANIA jana, Riyama alisema kiwango chake cha malipo kinatokana na filamu na vipande anavyopewa kucheza, hivyo hawezi kucheza filamu ya maisha ya kifahari bila kulipwa Sh milioni nne kutokana na ugumu wa […]

Read More..

VIDEO: Nimemsamehe Baraka – Nisha

Post Image

Msanii wa filamu za vichekesho Salma Jabu aka Nisha, amefunguka na kuweka wazi kuwa saizi amemsamehe msanii wa muziki wa bongo fleva Baraka The Prince ambaye aliachana naye mwaka jana na kutokea kumchukia sana. Nisha amesema hayo kupitia kipindi cha eNewz na kudai saizi ameamua kumsamehe kabisa kutoka moyoni mwake na kusema ameanza kuwa shabiki […]

Read More..

Amanda Hatishiki na Maneno ya Watu Haumwi n...

Post Image

MWIGIZAJI wa kike wa filamu Bongo Amanda Poshi amefunguka kwa kusema yupo salama kabisa kiafya wala hana tatizo lolote kutokana na muonekano wake kupungua kwake kutokana na mazoezi anayofanya kwa ajili ya afya yake anashangaa wale ambao wanamshangaa kupungua mwili wake. “Sitishiki na maneno ya wabaya wangu ambao wanahangaika kusambaza maneno na kunishangaa kwanini nimepungua […]

Read More..