Daily Archives: May 26, 2017

Jinsi mume Alivyomuua Mke kwa Risasi na Yey...

Post Image

Mwanza. Mtoto Ester Maxmilian (17) ameelezea vifo vya wazazi wake waliofariki baada ya baba yake kumpiga risasi mama na yeye kujipiga risasi. Wawili hao ni Maxmilian Tula (40) aliyejipiga risasi kifuani baada ya kumpiga risasi tatu mkewe Teddy Malulu (38) huku chanzo vifo hivyo kikiwa na utata. Wanandoa hao wamezaa watoto wawili, Ester na Grace […]

Read More..

Bongo Movie Full Kutishana Tico Atumiwa Sms...

Post Image

KUFUATIA kuyumba kwa soko la filamu na kufanyika kwa mikakati mbalimbali ya kutafuta suruhu la kuokoa soko hilo lilopotezwa na filamu za nje, sasa wasanii na watayarishaji wameanza kutishana wao kwa wao ikiwa kuambiana watafapotezana katika tasnia ya filamu. Mmoja kati ya watayarishaji wa filamu Bongo Timoth Conrad ‘Tico’ aliposti katika ukurasa wake andiko na […]

Read More..

Mbasha: Sina Hamu na Ndoa Tena

Post Image

BAADA ya hivi karibuni aliyekuwa mkewe, Flora Mbasha kuolewa na mwanaume mwingine, Mwimbaji wa Injili, Emmanuel Mbasha amefunguka kuwa hana hamu na ndoa hivyo hawezi kuwa na haraka ya kuwa na mke kwa sasa kwani anahofia kupata mwanamke msaliti tena. Akipiga stori na Star Mix, Mbasha alisema kutokana na changamoto kubwa aliyoipata kwenye ndoa, kila […]

Read More..

Harmorapa Afungukia Kuvaa Gauni

Post Image

Msanii Harmorapa ambaye sasa ana ‘trend’ na moja ya video ikimuonyesha akicheza wimbo akiwa amevaa gauni amefunguka na kusema yeye hajavaa gauni la bosi wake kama ambavyo watu wanadai bali yeye amevaa nguo ya kawaida katika video hiyo. Harmorapa amesema hayo katika kipindi cha eNewz na kudai kuwa yeye alifanya ‘cover’ ya kitu alichofanya Alikiba […]

Read More..

Kama Bongo Movie vile, Bongo Fleva nayo ina...

Post Image

Wimbi la kutegemea video nzuri kuwa zitaubeba wimbo linaanza kupungua kasi. Kama wimbi hilo liliweza kupindua meli basi sasa linaonekana hata mashua itakuwa kazi ngumu kuizamisha. Miaka miwili au mitatu nyuma ulizuka mtindo wa wasanii kutegemea video kuzibeba nyimbo zao, lakini kwa mifano michache tu ya hivi karibuni utaona utamaduni huo unaanza kufa. Wiki mbili […]

Read More..

VIDEO: Nimemsamehe Baraka – Ben Pol

Post Image

Mwanamuziki wa miondoko ya RnB bongo, Ben Pol amejibu ‘diss’ ya Baraka The Prince kuhusu ujio wa wimbo wake mpya na kusema kuwa amesha msamehe siku nyingi, kabla hata hamjamkosea huku akiongeza kwamba anajitahidi kumsaidia msanii huyo akue. Ben ameeleza hayo kupitia kipindi cha eNewz kinachorushwa na EATV na kusema anafahamu kuwa baadhi ya vitu haviko […]

Read More..