Daily Archives: May 2, 2017

Flora Ameamua Kurukaruka – Emmanuel Mbasha

Post Image

Mwimbaji wa nyimbo za Injili nchini Tanzania, Emmanuel Mbasha, ambaye alikuwa mume wa Flora ameweka wazi kuwa hana shida na Mume mpya wa madam Flora Daudi Kusekwa. Kupitia eNewz ya EATV, Emmanuel Mbasha amesema kuwa hana shida na  mume mpya wa Flora kwani yeye hamfahamu na kama akikutana naye hawezi kumfanya lolote maana huyo mtu hakuwahi […]

Read More..

Tunda: Mwanaume Niliyetamani Kuwa Naye Si Y...

Post Image

VIDEO queen matata Bongo, Tunda Sebasita ‘Tunda’ hivi karibuni ameibuka na kumkana aliyewahi kuwa mpenzi wake David Ganzi ‘Young D’ kuwa si mwanaume hasa aliyewahi kutamani kuwa naye huko nyuma na juu ya uhusiano wao ni jambo ambalo lilitokea tu. Akichonga na Uwazi Showbiz, baada ya kuulizwa ni mwanaume gani alitamani kuwa naye Bongo huko […]

Read More..

Kesi ya Wema Sepetu Kusikilizwa Juni Mosi

Post Image

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, imeambiwa kwamba upelelezi wa kesi ya kukutwa na bangi inayomkabili Muigizaji maarufu, Wema Sepetu na wenzake umekamilika. Hatua hiyo imefikiwa leo  ambapo upande wa Jamhuri mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Thomas Simba alisema kwamba upelelezi umekamilika dhidi ya msanii huyo na wakili wa Serikali Helleni Mushi ameomba […]

Read More..

Ruby Sina Ukaribu na Ali Kiba

Post Image

BAADA ya habari kusambaa kwenye mitandao ya kijamii zikihoji ukaribu unaohusishwa na kutoka kimapenzi baina ya waimbaji nyota wa Bongo Fleva, Hellen George ‘Ruby’ na Ali Kiba, mrembo huyo amesema hana ukaribu wowote na msanii huyo. Ruby anayefanya poa na ngoma yake ‘Walewale’ amelipasha Swaggaz kuwa taarifa za ukaribu wake na Kiba amekuwa akiziona kwenye […]

Read More..