Daily Archives: May 17, 2017

Dogo Janja Afungukia Mapenzi ya Harmonize n...

Post Image

Msanii kutoka Tip Top Connection, Dogo Janja amesema licha ya kuwaimba Harmonize na Wolper katika wimbo wake wa Kidebe, hajawahi ‘kuvutiwa’ na mahusiano yao. Dogo Janja amekiambia kipindi cha XXL cha Clouds Fm kuwa msanii akishakuwa kwenye mahusiano na mtu maarufu ni lazima akubali mapenzi yake kufuatiliwa na watu wengi. “Ukishakuwa na mpenzi staa hiyo […]

Read More..

Nora Afungukia Wasanii Kujiuza

Post Image

MKONGWE katika fi lamu Bongo, Nuru Nassoro ‘Nora’ ambaye kwa sasa anajishughulisha na ujasiriamali baada ya soko kwenda halijojo, amedai biashara ya kujiuza inayofanywa na baadhi ya mastaa wa tasnia hiyo hailipi na itawaathiri zaidi baadaye.   Akipiga stori na Za Motomoto News, Nora alisema ni vyema wakatafuta shughuli halali ya kufanya ili kujipa heshima […]

Read More..

Dogo Mfaume Amefariki Akiwa Anasubiri Upasu...

Post Image

Dar es Salaam. Kifo cha msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini Mfaume Selemani maarufu kama Dogo Mfaume, kimekuja ikiwa ni siku chache tangu Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk Hamisi Kigwangalla kutoa msaada kwa ajili ya matibabu ya uvimbe karibu na ubongo uliokuwa unamsumbua. Dogo Mfaume aliyewahi kutamba […]

Read More..

Niombeeni Nipate Mwanaume wa Namna Hii-Wema...

Post Image

Malkia wa filamu bongo, Wema Issac Sepetu amefunguka na kuwataka mashabiki wamuombee apate mume bora atakayekuwa na heshima na wala asiwe mtu maarufu na siyo kumhusisha kila mara na uhusiano wa kimapenzi na msanii Diamond Platnumz. Wema amefunguka hayo wakati akimjibu Shabiki katika kurasa wake wa Instagram, na kumtaka atambue Diamond ni baba wa watoto […]

Read More..

Alikiba apewa jina jipya Uingereza

Post Image

Mtandao mkubwa wa kuuza muziki wa TIDAL ambao upo chini ya rapa Jay Z umempa jina jipya msanii kutoka Bongo Alikiba na kumtambua kwa jina la ‘The unstoppable’ yaani mtu asiezuilika kwa kitu akifanyacho. “The unstoppable AliKiba is live right now in London” mtandao wa TIDAL uliandika wakati Alikiba akifanya yake kwa steji usiku huo. […]

Read More..