Daily Archives: May 28, 2017

Irene Uwoya Ala Shavu la Ubalozi

Post Image

Staa wa bongo movie, Irene Uwoya amepata dili la kuwa balozi wa kampuni ya simu ya Itel. “Napenda ni mshukuru sana MUNGU wangu kwa kunipenda…natoa shukrani Zangu za dhati kwa viongoz wangu wa itel kwa kuniamini na kunichagua Kuwa balozi wao… Itel ni simu nzuri sana tena kwa wale wapenda self Kama mim hiii Ndio […]

Read More..

Rais Magufuli Amwondoa IGP Mangu, Simon Sir...

Post Image

Dar es Salaam. Rais John Magufuli amemteua Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Simon Sirro, kuwa Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP). Taarifa iliyotolewa na Ikumu muda mfupi uliopita inasema aliyekuwa IGP, Ernest Mangu, atapangiwa kazi nyingine. Taarifa iliyotolewa na katibu Mkuu Kiongozi, Balozi John Kijazi, inaeleza kuwa Sirro ataapishwa kesho Jumatatu […]

Read More..

Mfanyabiashara Ivan Semwanga Kuzikwa Uganda...

Post Image

Mwili wa mfanyabiashara Ivan Don Ssemwanga ambaye ni mzazi mwenza na mama watoto wa Diamond, Zari the Bosslady aliyefariki Alhamisi hii nchini Afrika Kusini alipokuwa akitibiwa utasafirishwa Jumapili hii kwenda nyumbani kwao Uganda kwaajili ya mazishi kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na familia. Mjomba wa marehemu, Herbert Luyinda ameviambia vyombo vya habari nchini Uganda kwamba […]

Read More..

Namuona Harmorapa Akizidi Kupepea (Maoni)

Post Image

BADO ni underground, lakini anajulikana! Wengi tumemjua kwa sababu tu anafanana sana na msanii mwingine wa Bongo Fleva, chipukizi anayeelekea kukua, Harmonize. Harmonize yeye ni msanii anayefanya poa akiwa na Lebo ya WCB, chini ya Nasibu Abdul ‘Diamond’ ambaye uwezo wake na mafanikio yake kwenye muziki huo ni mkubwa na mfano wa wasanii wa Bongo […]

Read More..

Wolper Awachana Wavaa Nusu Uchi (VIDEO)

Post Image

Mwigizaji Jacqueline Wolper amefunguka na kuwataka watu maarufu kujiheshimu na kuvaa nguo kulingana na mazingira kwani kuvaa nguo ambazo hazina staha inaweza kupeleka kukosa kazi au hata heshima yao kushuka. Wolper alisema hayo kupitia kipindi cha eNewz na kudai japo hawakatazwi kuvaa nguo nusu uchi lakini si jambo jema, na kusema mtu unapovaa nguo za […]

Read More..