Snura Afungukia Ajali Yake!
SIKU chache baada ya kupata ajali mbaya, staa wa Muziki wa Bongo Fleva, Snura Mushi amefunguka jinsi alivyonusurika kifo huku akimshukuru Mungu kwa kumtoa salama kwani mauti yalikuwa nje nje. Awali, chanzo kilichokuwa eneo la tukio, kilieleza kuwa Snura alikuwa kwenye mwendo wa kasi na kushi-ndwa kukata kona iliyopo maeneo ya Cocacola Mikocheni na kusaba-bisha […]
Read More..





