-->

Daily Archives: June 16, 2017

VIDEO : Sitafuti Kiki kwa Alikiba – AT

Post Image

Msanii wa muziki miondoko ya mduara nchini, AT amefunguka kwa kuwachana wasanii wa Tanzania kwa kudai wengi wao ni waongo, hawapendi kusema ukweli juu ya mambo yao yanayowasibu. AT ameeleza kupitia kipindi cha eNewz kutoka EATV baada ya kuonekana kama anatafuta kiki ya wimbo wake mpya uitwao ‘Melody’ kwa kuzungumzia ugomvi wa kipindi kirefu baina […]

Read More..

Masogange Kuletewa Mashahidi Watatu

Post Image

BAADA ya msanii na mnogeshaji wa video za wasanii mbalimbali, Agnes Gerald (Masogange), kuikana ripoti ya mkemia mkuu wa Serikali iliyoonyesha kwamba Februari 20, mwaka huu ilithibitisha mkojo wake kuwa na dawa za kulevya aina ya heroin na Oxazepam, upande wa mashtaka unatarajia kuleta mashahidi watatu kwenye kesi hiyo. Akisoma maelezo ya awali katika Mahakama […]

Read More..

Ray Kigosi Alia na Yanga, ‘Tumuombe Manji...

Post Image

Muigizaji wa Filamu nchini, Ray Kigosi amesema uongozi wa klabu ya Yanga ni vema ukafanya utaratibu wa kamrejesha aliyekuwa Mwenyekiti wao, Yusuph Manji ili timu hiyo iwezi kupata maandalizi mazuri kwa ajili ya msimu ujao wa ligi na kusajili wachezaji wazuri ili wafanye vizuri katika mashindano ya kimataifa. Kupitia mtandao wa instagram Ray amendika, “Nakumbuka […]

Read More..