-->

Daily Archives: June 21, 2017

G Nako Afunguka Ishu ya Kulala Kwenye Jenez...

Post Image

Rapa G Nako amefunguka na kusema kwamba ujumbe na lengo lake limefanikiwa baada ya watu kushtuka walipomuona  ndani ya jeneza kwenye video ya wimbo wake mpya ‘Luck Me’ huku akikumbusha kwamba kila mtu lazima aingie kaburini na kusisitiza ibada. G Nako amefunguka hayo mbele ya kamera za eNewz ya EATV baada ya kuzua gumzo mtandaoni ikiwa […]

Read More..

Diamond Amkana Hamisa Mobeto

Post Image

Msanii wa muziki Diamond Platnumz amekanusha taarifa ambazo zimekuwa zikizagaa katika mitandao ya kijamii kuwa Hamisa Mobeto ana mimba yake. Aidha muimbaji huyo amekanusha pia kuwahi kutoka kimapenzi na video queen huyo ambaye anatikisa katika tasnia ya urembo. Akiongea katika kipindi cha XXL cha Clouds Fm Jumatano hii wakati akiutambulisha wimbo wake mpya ‘I Miss […]

Read More..

Wanaume Vinara wa Michepuko – Kigwangalla

Post Image

Naibu waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mh. Dk. Hamisi Kigwangalla amefunguka na kusema kuwa wanaume wengi wamekuwa vinara wa michepuko jambo ambalo linapelekea kupata virus vya UKIMWI na kwenda kuwaambukiza wanawake. Kigwangalla amesema hayo leo bungeni wakati akijibu swali lililoulizwa na Mbunge wa Viti maalum CHADEMA, Susan Lyimo ambaye alitaka […]

Read More..

Niyonzima Aitosa Yanga

Post Image

Klabu ya Mabingwa wa Ligi kuu Tanzania Bara Young Africans (Yanga) yamwagikwa machozi baada ya Nahodha wao raia wa Rwanda Haruna Niyonzima kushindwa kufikia makubaliano ya kuendelea kuchezea klabu hiyo baada ya kumaliza mkataba wake mwezi julai. Hayo yamebainishwa na uongozi wa klabu hiyo kupitia kwa Katibu Mkuu, Boniface Mkwasa kwa kusema hawataweza kuendelea na Niyonzima katika […]

Read More..

Rais Magufuli atuma rambirambi kifo cha Ali...

Post Image

Dar es Salaam. Rais John Magufuli ametuma rambirambi kwa familia, wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM), uongozi wa Klabu ya Yanga na wanamichezo wote kwa jumla kutokana na kifo cha shabiki wa Klabu ya Yanga, Ali Mohamed maarufu Ali Yanga. Ali Yanga amefariki dunia jana (Jumanne), Juni 20 kwa ajali ya gari iliyotokea katika Kijiji […]

Read More..

Odama Kuuza Mwenyewe Kazi Zake

Post Image

KUTOKANA na ugumu wa soko la filamu nchini lililosababisha wasambazaji wengi kuachana na kazi hiyo, Jennifer Kyaka ‘Odama’ atauza kazi zake mwenyewe. Akipiga stori na Za Motomoto News, Odama alisema mara tu baada ya kumalizika kwa mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, ataanza kusambaza kazi yake mpya aliyofanya hivi karibuni kwani kwa ugumu wa sasa […]

Read More..

Chriss Mhenga Chimbuko Bongo Movie (Sehemu ...

Post Image

UNAPOONGELEA tasnia ya filamu Bongo ni lazima uanzie kwenye michezo ya kuigiza kwani wanaong’ara na kufanya vizuri asilimia kubwa walikuwa ni waigizaji kutoka katika kundi la Kaole Sanaa Group, lakini si wengi ambao wanamtambua muasisi na mzalishaji wa vipaji hivyo huyu si mwingine ni Chrissant Mhenga. Uncle Chriss kama wengi wanavyomjua ni Baba wa familia […]

Read More..

Endapo Ben Pol akinikataa, ‘Nitajiua kwa ...

Post Image

Aliyesema mahaba niue hakukosea kabisa kwani hii imekuja kujidhihirisha kwa mchekeshaji mrembo Ebitoke ambaye karibia mwezi mmoja sasa anahangaika kuwinda penzi la Ben Pol. Ebitoke amesema kwa sasa mahaba yake yote yapo kwa Ben Pol na endapo atashindwa kupata penzi lake basi yupo tayari kupoteza uhai wake. “Hapana Ben Pol hawezi kuacha kuwa na mimi, […]

Read More..

Diamond Kuliamsha Dude Leo!

Post Image

Ni kweli Diamond anataka kuachia ngoma mpya Jumatano hii? Kama haufahamu hilo basi kaa tayari kulipokea hilo. Msanii huyo amekuwa akiteka vichwa vya habari kila anapokaribia kuachia ngoma zake mpya kutokana na style anazotumia. Kupitia mtandao wa Instagram, Diamond ameahidi kuachia wimbo wake huo siku ya leo. “@sallam_sk punguza Hasira ?… Xxl ya @Cloudfmtz na […]

Read More..