-->

Daily Archives: February 14, 2016

Picha: Usiku wa ‘Muzika Vestival̵...

Post Image

Kwenye usiku wa Valentine Day Mwanza nao walikuwa na burudani ya nguvu kutoka kwa mastar wa Nigeria na hapa Tanzania, Nigeria Tekno na Seyi Shay wametoa burudani kwa mara ya kwanza kwa watu wangu wa Mwanza hapa nyumabni tulikuwa na wakali Juma Nature na Ommy Dimponzi, Muzika festival ndio walitusogeza jembe beach pamoja kutazama burudani […]

Read More..

Aunty Ezekiel Ataja Aliowahi Kugombana Nao ...

Post Image

Ni wengi ambao wamegombana na hawazungumzi bado mpaka sasa hivi wala hawajawahi kuwaza kupatana, Mwigizaji Aunty Ezekiel anasema kugombana kwenye maisha ni kitu cha kawaida ila msamaha ni muhimu na kumaliza yaliyopita…. bonyeza play hapa chini MillardAyo.com

Read More..

Mabinti Walikuwa Wanatamani Kuwa na Mimi â€...

Post Image

Msanii wa hip hop Roma Mkatoliki amefunguka na kusema kuwa kitendo cha yeye kutangaza rasmi kuoa na kuweka wazi mahusiano yake kimemfanya agundue kuwa mabinti wengi walikuwa wanataka kuwa na yeye kimapenzi. Roma Mkatoliki amesema hayo alipokuwa akipiga stori kwenye kipindi cha Planet Bongo cha East Africa Radio na kusema alipoweka wazi baadhi ya picha […]

Read More..

Baba Diamond Amfata Diamond Studio!

Post Image

Baba mzazi wa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’, Mzee Abdul Juma alipofika getini kwenye studio ya Diamond. Na Musa Mateja Risasi Jumamosi DAR ES SALAAM: Abdul Juma ambaye ni baba mzazi wa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ amenaswa akiwa katika studio ya mwanaye iliyopo Sinza Mapambano jijini Dar akidaiwa kusaka suluhu ya […]

Read More..

Kuna Wakati Nauchukia Umaarufu – Shamsa F...

Post Image

Staa mrembo wa Bongo Movies, Shamsa Ford amefunguka kwa kusema kuwa wakati mwingine anajuta kuwa maarufu. Kupiti instagram, Shamsa ameandika. Umaarufu una raha lakini ubaya wake ukiwa maarufu ni ngumu kumjua mtu anayekupenda kwa dhati kwa sababu wengine wanaweza wakawa wanakufwata kwa ajili ya jina lako ili mradi awe karibu tu na wewe. Umaarufu Ubaya […]

Read More..