-->

Daily Archives: February 27, 2016

Wanne Wauawa na Polisi kwa kuvamia Benki Mb...

Post Image

Polisi wakiimarisha ulinzi kwenye benki hiyo iliyovamia na wanaosadikiwa kuwa majambazi Mbagala, Dar. WATU wanaosadikiwa kuwa majambazi na ambao idadi yao inasadikiwa kuwa sita wakiwa na mabomu na bunduki za kisasa jana walivamia Benki ya Access tawi la Mbagala jijini Dar es Salaam ambako walipora viroba vya fedha, kuua mlinzi na baadaye wanne kati wakauawa […]

Read More..

Uchaguzi wa Meya Jiji la Dar Waahirishwa

Post Image

Baadhi ya Wafuasi wa Ukawa wakifuatilia taarifa iliyokuwa ikitolewa na Mwenyekiti wa Madiwani na wabunge wa jiji la Dar mda mfupi baada ya kuahirishwa uchaguzi huo. Mwenyekiti wa Madiwani na Wabunge wa Ukawa, Manase John Mjema akitoa taarifa yake mbele baada ya kuahirishwa uchaguzi huo. Hali ilivyoonekana nje ya Ukumbi wa Karimjee jijini Dar, baada […]

Read More..

Shamsa Danga Ampongeza Dkt. Magufuli

Post Image

MSANII wa filamu wa kike na mtangazaji wa televisheni Shamsa Danga amempongeza Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. John Pombe Magufuli baada ya kuangalia tasnia ya filamu na muziki kwa kuwaimiza mamlaka ya Mapato kukamata kazi ambazo hazina stempu za ushuru wa mapato hasa zile za kutoka nje. “Nampongeza mheshimiwa Rais Dkt. Magufuli […]

Read More..

Ney wa Mitego: Muziki Sio Vita, Avunjiwa Vi...

Post Image

Msanii Ney wa Mitego amepata ajali ya kuvunjiwa kioo cha gari yake na watu wasiojulikana, alipokuwa njiani akielekea EATV kwenye mahojiano ya kipindi cha Friday Night Live. Kwenye ukurasa wake wa instagram Ney wa Mitego ametoa taarifa hiyo, na kuwaomba radhi mashabiki wake kwa kushindwa kufika kwenye kipindi hicho, ambapo alitarajiwa kwenda kutambulisha video yake […]

Read More..

Sijui Kama Wema Alishawahi Kuwa na Mimba â€...

Post Image

Msanii wa muziki wa bongo fleva Mirror, anayefanya kazi chini ya Wema Sepetu amesema hajui kama Wema alishawahi kuwa na mimba ila na yeye anasikia kwa watu na kwenye mitandao. Msanii huyo ambaye anatamba na wimbo wake mpya Naogopa ambao ameimba na Baraka Da Prince ameyasema hayo alipokuwa akifanya mahojiano katika kipindi cha ENews kinachorushwa […]

Read More..

Wolper, Dk. Fadhili Siri Yao Yavuja

Post Image

Siri imevuja! Daktari wa Kitengo cha Sayansi na Tiba Asili kilichopo Mbezi-Afrikana, Dar, Dk. Fadhili Emily amedaiwa kumponza mwigizaji Jacqueline Wolper kwa mpenzi wake wa sasa, Mkongo baada ya picha yake kukutwa kwenye simu ya mwigizaji huyo. Chanzo kilicho karibu na Wolper kimepenyeza habari kuwa Wolper ambaye yupo nchini Afrika Kusini akijivinjari na Mkongo wake, […]

Read More..

Ray : ‘Tajiri Mfupi’ Imegharimu Milioni...

Post Image

Msanii mkongwe wa filamu Vicent Kigosi ‘Ray’ amesema filamu yake mpya ‘Tajiri Mfupu’ imegharimu milioni 17 mpaka inaingia sokoni. Akizungumza katika kipindi cha Clouds 360 Ijumaa hii, Ray alisema bajeti ya milioni 10 ndio bajeti kubwa kwa filamu nyingi za bongo. “Filamu zetu nyingi za bongo kwa sisi wasanii wakubwa ni kuanzia milioni 10 hadi […]

Read More..