-->

Daily Archives: February 3, 2016

Ni Mvutano Kati ya Ray na Batuli Kuhusu Mad...

Post Image

Kutoka Mtandaoni Mastaa wa Bongo Movies, Vincent Kigosi ‘Ray’ na Yobnesh Yusuph ‘Batuli’ wamerushiana maneno kupitia akaunti zao kwenye mtandao wa Instagram kufuatia madai aliyoyatoa Batuli kuwa amedhulumiwa na Ray kwenye filamu ya Tajiri Mfupi ambayo batuli ameigiza. Alianza Batuli kwa kuandika haya; Haki Ya Mtu Haizami Swali: Movie Yako Nimecheza Mwaka Juzi Wiki Moja […]

Read More..

Nay wa Mitego Aweka Wakili Kuwakabili Bongo...

Post Image

Hivi juzi kati kupitia akaunti yake ya Instagram,Nay Wa Mitego alipost mashairi yenye ‘utata’ ya ngoma yake mpya yakiwalenga wasanii wa Bongo Movie,baadhi ya wasanii hawakupendezwa na mashairi hayo: Nay aliandika mshairi haya; “Mungu akunyimi vyote lazima atakupa chako, Demu anasura mbayaa lakini ana Bonge la Tako. BongoMovie Imekufa wamebaki kuuza Sura, Wote wanataka Kuimba […]

Read More..

Kampuni 3 Zamtaka Mtoto wa Wema

Post Image

  Kampuni tatu zimejitokeza kutaka kumtumia kibiashara mtoto atakayezaliwa baada ya staa wa filamu Wema Sepetu kujifungua baadaye mwaka huu. Chanzo cha uhakika kilicho karibu na staa huyo, kimesema kampuni hizo ambazo hakuzitaja kwa kushindwa kukariri majina yake, zimeshafanya mazungumzo ya awali na Wema, kwani wanaamini mtoto huyo atakuwa kivutio kikubwa. “Hivi ninavyokuambia licha ya […]

Read More..

JB Ataka Kuwa wa Kimataifa

Post Image

MKALI wa Filamu Bongo, Jacob Steven ‘JB’ amefunguka kuwa ameamua kuja kivingine katika tasnia ya filamu mwaka huu kwa kuiboresha zaidi kwa kushirikiana na wasanii kutoka nchi mbalimbali ili kuweza kutusua kimataifa. Akizungumza na Mikito Jumatano, JB alisema, licha ya filamu zake kadhaa alizoziachia huko nyuma kufanya vizuri, pia yupo katika mikakati madhubuti ya kuandaa […]

Read More..

Erick Omondi Amsapoti Nishabebee Kuuza Fila...

Post Image

UNAPOTAJA jina la Erick Omondi ni jina kubwa kwa sasa barani Afrika kijana mdogo mahiri katika uchekeshaji mwenye sifa kubwa Afrika ya Mashariki, msanii huyu ni bingwa wa kutawala jukwaa, alikuja Dar es salaam kwa show maalum na kuamua kumsapoti Nishabebee kuuza filamu ya Kiboko Kabisa. “Mimi natamba sana na stage but Nisha ni Kiboko […]

Read More..

Ray Kawa Mkongo Mpaka Leo Anaishi Kwao- Nay

Post Image

Msanii wa muziki wa bongo fleva Nay wa mitego ameweka wazi baadhi ya mistari ambayo ipo kwenye moja ya wimbo wake ambao ana wasiwasi kuuachia kwa mashabiki kutokana na vitu alivyozungumza. Kwenye wimbo huo ambao anadai anaogopa akiuachia watanzania watamchukia kwa mambo aliyozungumza kwenye wimbo huo alioupa jina la ‘Shika adabu yako’. Katika wimbo huo […]

Read More..

Ali Kiba Kutoka Upya na Lupela

Post Image

MSANII wa Bongo Fleva nchini, Ally Kiba, amesema wimbo wake mpya wa ‘Lupela’ atauachia mwishoni mwa mwezi wa nne. Wimbo huo ambao video yake imefanyika nchini Marekani, utaachiwa rasmi mwezi wa nne, ukiwa ni sehemu ya mradi wa Wild Aid ambao msanii huyo ni balozi wake. Haijajulikana kama wimbo huo ni sehemu ya kampeni hiyo, […]

Read More..