-->

Daily Archives: February 19, 2016

Ray: Nilishawahi Kumuokoa Nay wa Mitego Asi...

Post Image

STAA wa Bongo Movie, Vincent Kigosi ‘Ray’ kwa mara nyingine ameendelea kuteka ‘headlines’ baada ya kuibuka na kudai kuwa alishawahi kumuokoa staa wa Bongo Fleva, Nay wa Mitego asipigwe. Akizungumza asubuhi hii katika kipindi cha Leo Tena kinachorusha na Clouds FM, Ray alisema kuwa alipokuwa katika shoo ya Fiesta Mwanza, Nay alivamiwa na kundi la […]

Read More..

Siri Nzima ya Weupe wa Ray Upo Ndani ya ‘...

Post Image

Kabla ya ya uvumi wa kudhulumiana kwa mwigizaji Batuli na Vicent Kigosi ‘Ray’, tayari mwigizaji huyo ameshazua tafrani katika mitandao ya kijamii baada ya kuulizwa swali lilotokana na waupe wake. Ilikuwa katika kipindi kinachorushwa Ea TV cha Nirvana, ndipo Ray alisema wala hatumii Mkorogo isipokuwa weupe wake unatokana na Utumiaji wa maji kwa wingi na […]

Read More..

Wema we Bado Mdogo Usizae – Mange Kimambi

Post Image

Blogger maarufu hapa nchini Mange Kimambi ametoa ushauri ambao mwenyewe ameuita wa bure kwa mwanadada mwenye jina lake hapa mjini Wema Sepetu, na kumtaka asizae kwa kulazimishwa na maneno ya watu, bali asubiri mpaka akiolewa. Mange ametoa ushauri huo kwenye ukurasa wake wa instagram baada ya seke seke lililomkuta mwanadada huyo la kushambuliwa na watu […]

Read More..

Lady Jaydee Avunja Ukimya

Post Image

Mkongwe wa muziki wa bongo fleva Lady Jaydee ametangaza rasmi kurudi tena kwenye muziki baada ya ukimya wa muda kidogo kwenye muziki. Lady Jaydee ameweka wazi ujio wake mpya kwenye muziki baada ya siku 30 kuanzia leo. Wiki kadhaa zilizopita Lady Jaydee aliwahi kuwaomba wapenzi wa muziki wake kuwa wavumilivu na kuwataka wasubiri kwani kwa kipindi […]

Read More..

Shilole Adaiwa Kumlewesha Dogo

Post Image

Baada ya msanii Zuwena Mohammed ‘Shilole’ kumwagana na aliyekuwa mpenzi wake, Naftal Mlawa ‘Nuh Mziwanda’, hivi karibuni Ijumaa lilinyetishiwa kuwa, amejiweka kwa dogo mmoja aliyefahamika kwa jina la Medy Music ambaye wamekuwa wakipika na kupakua kwenye nyumba ya staa huyo iliyopo Kijitonyama jijini Dar. Baada ya kunyetishiwa habari hizo, paparazi wetu juzikati jioni alitinga nyumbani […]

Read More..

Chuchu Afunguka Kuhusu Weupe wa Mpenzi Wake...

Post Image

Msanii wa filamu nchini ambaye pia ni mpenzi wa Ray Kigosi amefunguka na kusema hapendi watu wanapokuwa wana msema mchumba wake Ray Kigosi kuwa amejichubua na kudai anaamua kupuuza ila huwa hapendezwi na suala hilo.   Chuchu Hans alisema hayo kupitia kipindi cha eNEWZ jana na kudai kuwa mpenzi wake huyo kwa sasa amependeza kutokana […]

Read More..