-->

Daily Archives: February 20, 2016

Muziki Unalipa Zaidi ya Filamu-Snura

Post Image

Mwanamuziki na muigizaji Snura Mushi amesema muziki unamlipa zaidi ndio maana hafikirii kwa kipindi hiki kuwaahidi mashabiki wake ujio wowote wa filamu. “Muziki unalipa kwa kuwa kila kitu kinamhusu msanii na meneja wake, lakini filamu ina mambo mengi kiasi cha kumfanya msanii kuwa na mambo mengi”. Mwanamuziki na muigizaji Snura Mushi amesema muziki unamlipa zaidi […]

Read More..

Mama Yangu Hapendi Nihame Nyumbani Kwetu ...

Post Image

Msanii wa filamu Vincent Kigosi ‘Ray’ baada ya kuchanwa kwenye wimbo wa Nay wa Mitego ‘Shika Adabu Yako’ kuwa bado anaishi kwao, amejibu tuhuma hizo kwa kudai anaishi kwao mpaka sasa ili kuwa karibu na Mama yake. Akizungumza katika kipindi cha Leo Tena cha Clouds FM Ijumaa hii, Ray alisema yeye ni mtoto wa mwisho […]

Read More..

Shilole Ala za Uso, Atakiwa Kuacha ‘K...

Post Image

Msanii wa bongo fleva asiyeisha vituko Shilole au Shishi Baby, ameijiwa juu na mashabiki wake na kumtaka kuacha tabia ya kupenda wavulana wadogo, huku wakimtuhumu kuwabemenda na kujidhalilisha. wenye ukurasa wake wa instagram ambapo Shilole amepost picha akiwa na mwenzi wake huyo mpya ambaye pia ni mwanamuziki Nedy Music, mashabiki hao wamemtaka Shishi kuacha mara […]

Read More..

Picha: Shamsa Amwaga Lazi ukumbini

Post Image

Msanii wa filamu Shamsa Ford juzikati alitoa kali ya mwaka baada ya kutinga kwenye Ukumbi wa Sky nightlife uliopo Masaki akiwa ametinga kigauni kifupi ambacho kila alipoinama kwa kucheza alikuwa akimwaga lazi. Shamsa aliyekuwa kivutio ukumbini hapo alionekana kukongwa na nyimbo za msanii Belle 9 ambapo kila ulipopigwa wimbo aliinuka akiwa na glasi yake mkononi […]

Read More..

Haya Sasa, Johari Asaka Mchumba

Post Image

Msanii mwigizaji mkongwe wa bongo movie Johari Blandina Chagula amesema kwa sasa anatafuta kijana wa kuwa naye katika maisha. Msanii huyo ameyasema hayo alipokuwa akifanya mahojiano maalum na kipindi cha ENews kinachorushwa na kituo cha EATV. ‘Mimi kwa sasa nipo mwenyewe (Single) akitokea kijana mwenye malengo na mwenye dhamira ya kweli nipo tayari kuwa naye”Amesema […]

Read More..

Niva Atembelea Watoto Wenye Shida Katika Ki...

Post Image

MWIGIZAJI wa kiume wa filamu  Zuber Mohamed ‘Niva’ aka Super Mario leo hii mchana ametembelea kituo cha watoto wenye shida wanaoishi katika kituo cha Taifa kilichopo Kurasini katika Wilaya ya Temeke na kuweza kutoa zawadi kwa watoto hao ambao wapo pia watoto wenye matatizo mbalimbali na mtindio wa Ubongo. Niva akitoa msaada wa kwa mlezi […]

Read More..