-->

Daily Archives: February 2, 2016

‘Homecoming’ na ‘Going Bongo’ ni Fu...

Post Image

Msanii wa filamu Rose Ndauka amesema kuwa filamu mpya ya Homecoming pamoja na Going Bongo ni filamu bora zaidi kuzinduliwa nchini mwaka 2016 ambapo amewataka wasanii wa Tanzania kuiga mfano. Akizungumza na Bongo5 Jumatatu hii, Rose alisema kila msanii wa filamu aliyoangalia filamu hizo lazima alitoka na kitu. “Mwaka umeanza kwa changamoto ya kazi, hivi […]

Read More..

Zari Bado Mbichi Kama Embe la Msimu – Dia...

Post Image

Wakati kuna watu wanaodhani kwa kuwa ni mama wa watoto wanne, Zari anaweza kuwa ameshapoteza sifa za ‘usichana’, Diamond ana mtazamo tofauti. Hitmaker huyo wa ‘Utanipenda’ anamuona Zari the Bosslady kama msichana mbichi ma hauchoki uzuri wake. “I swear I can’t get use to your Cuteness…Kadada kabichiii… kama Embe la Msimu,” aliandika Diamond kwenye picha […]

Read More..

Pombe Ina Madhara Kuliko Bangi – Afan...

Post Image

Msanii mkongwe wa hip hop nchini, Afande Sele amefunguka na kusema serikali ihalalishe matumizi ya bangi na si kukosoa juu ya hoja iliyotolewa na mbunge wa Geita Vijijini, Joseph Msukuma. Ikiwa imepita siku moja toka mbunge wa Geita Vijijini, Joseph Msukuma (CCM), kusema haoni sababu ya serikali kuzuia bangi kuwa zao la biashara kwa maana […]

Read More..

Nisha Aongeza Utata Juu ya Mahusiano na Bar...

Post Image

Msanii wa filamu Nisha Jabu, ametoa upande wake wa maelezo juu ya mahusiano yake na nyota wa muziki Barakah Da Prince, kufuatia kauli ya mwanamuziki huyo wiki iliyopita kukana kuwepo kwa mahusiano ya kimapenzi kati yao. Nisha amesema kuwa, Baraka ni msanii ambaye ni mchapakazi na anaona mbali, tabia ambayo ni ya aina ya mwanaume […]

Read More..

Shela la Aunt Lazua Maswali Tata

Post Image

KUNASWA kwa msanii wa filamu Bongo, Aunt Ezekiel akiwa ndani ya gauni la harusi (shela) kumezua maswali tata huku wadau wakiamini alikuwa safarini kwenda ukumbini kwa ajili ya harusi yake. Aunt alinaswa hivi karibuni akitoka ndani ya saluni moja iitwayo Wedding  Dover, Sinza Afrikasana akitoka akiwa ndani ya shela hilo. Kwa mujibu wa chanzo chetu, […]

Read More..

Ray C Kayaandika Haya Baada ya Kuhusishwa T...

Post Image

Msanii mrembo wa Bongo fleva Ray C leo ameonyeshwa kukwazwa na moja ya habari zilizoandikwa kenye moja ya kurasa za magazeti Bongo, na hiki ndicho alichokiandika. “Seriously kwa kweli huwa naumia sana sana kuona binadam mwezangu anadiriki kuniharibia jina langu ilj yeye apate kula!hamjui mnaniathiri kiasi gani na hizi habari zenu?Hivi unadirikije kuandika usengwile kama huu […]

Read More..