-->

Daily Archives: February 18, 2016

Idris Ajipoza kwa Lulu

Post Image

Siku chache baada ya taarifa za kutoka kwa mimba ya mwandani wake, Wema Isaac Sepetu ‘Madam’, Mshindi wa Shindano la Big Brother Africa ‘Hotshot’ 2014, Idris Sultan amebambwa kiwanja akijipoza machungu na staa wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’, Amani limenasa tukio. Tukio hilo lililopigwa chabo na paparazi wetu lilijiri wikiendi iliyopita ndani ya […]

Read More..

Sijapenda ujauzito wa Wema Sepetu uharibike...

Post Image

Msanii wa muziki wa Hip Hop Nay wa Mitego amesema hakupenda ujauzito wa Wema Sepetu uharibike kama baadhi ya mashabiki wa Wema Sepetu wanavyodai katika mitandao ya kijamii. Rapa huyo kupitia wimbo wake “Shika Adabu Yako’ alimchana Wema ‘una mimba kweli, au ndio kiki za msimu?. Miezi tisa sio mingi, isije ikakugharimu” kauli ambayo ilitafsiriwa […]

Read More..

Mwakifwamba : Sitowaangusha Wazee Wangu, Ag...

Post Image

MGOMBEA wa nafasi ya Urais wa shirikisho la Filamu Tanzania (TAFF) Simon Mwakifwamba amefunguka kwa kusema kuwa hatawaangusha wazee waliomwamini na kumuomba agombee tena uongozi TAFF baada ya kuwa na imani naye hivyo hata waangusha bali atafanya kazi kwa nguvu. “Ikumbukwe nilipanga mwaka huu kupumzika na kuangalia mambo ya kifamilia zaidi lakini wazee wangu ambo […]

Read More..

Hii ya Ray Kigosi kwangu ni mpya -Baraka Da...

Post Image

Msanii Baraka da Prince amejibu kauli ya Ray aliyoitoa hapo jana na kutoa siri ya yeye kubadilika rangi yake, na kusema kuwa anakunywa maji mengi na kufanya mazoezi sana. Akiongea na East Africa Television/ Radio, Baraka amesema kuwa kitu hicho ni mara ya kwanza kusikia maishani mwake, kwani hajawahi kusikia popote duniani. Ameanza kwa kucheka…..”hahahahahaaa, […]

Read More..

Wema Sepetu Alitamani Ajifungua Mtoto wa Ki...

Post Image

Usiku wa kuamkia leo, Idris Sultan ameandika waraka mrefu kuhusiana na ujauzito wa mpenzi wake, Wema Sepetu ambao kwa post ile amemaanisha haupo tena (umetoka), lakini siku chache zilizopita wakati akiwa na mimba alitamani sana ajifungue mtoto wa kiume kwa kuwa kwenye familia yao wamezaliwa wote wanawake. ”Yaani huwezi amini kabla sijashika mimba nilikuwa na […]

Read More..

Weupe Wangu ni Kwakuwa Nakunywa Maji Mengi ...

Post Image

Mwigizaji maarufu wa Bongo Movie hapa nchini Ray Kigosi amesema kwamba yeye hajawahi kujichubua bali huwa anakunywa maji mengi pamoja na kufanya mazoezi . Ray ameyasema hayo wakati akifanya mahojiano katika kipindi cha ENews kinachorushwa na EATV na kusema kwamba hua anakwenda salon mara moja kwa wiki kwa ajili ya kusafisha uso wake (Scrub) ili […]

Read More..

Niva Supermarioo Alamba Dili Nono

Post Image

Mwigizaji Niva Zubery wanamwita Niva  supermarioo Niva ameingia mkataba mpya na kampuni ya  Steps entertainment wa kuangusha filamu kali kwa mwaka huu. Huku akianza na filamu kali ya Kasanga nae Mwana akiwa na Gabo. Wakati huo kazi nyingine hiyooo ya KIZA akiwa na Riyama Ally na Grace Mapunda.

Read More..

Nipo Vizuri Kila Idara Mwanaher

Post Image

MTAYARISHAJI na mwigizaji wa kike Mwanaher Afcely anayefanishwa na mwigizaji wa kike Swahilihood Riyama ametamba kwa kusema kuwa hajivunii kufanana na Riyama bali ni uwezo wake katika uigizaji kwani anafanya vizuri na hata wengine wanashindwa kumtofautisha na Riyama kwa kuigiza kwa ufasaha. “Nipo kikazi zaidi na unajua kama unafananishwa na msanii mwenye uwezo mkubwa ni […]

Read More..