-->

Daily Archives: February 16, 2016

Mimi Ndiye Msanii Nianyefanya Vizuri Sokoni...

Post Image

MWIGIZAJI anayefanya vizuri zaidi sokoni katika soko la filamu nchini, Vicent Kigosi anasema kushuka kwa soko la filamu nchini na kukosa ushindani ambao ulikuwepo hapo awali. Akifafanua zaidi  alisema tofauti na zamani filamu zilikuwa zikizungumziwa zaidi sababu ya ushindani wake mkubwa na marehemu Steven Kanumba. Kigosi anasema kipindi hicho ya filamu kutoka kulikuwa na mambo […]

Read More..

Masanja Azidi Kupaa Kibiashara Azindua Masa...

Post Image

MCHEKESHAJI wa Komedi kutoka Orijino Komedi Emmanuel Mgaya a.k.a Masanja Mkandamizaji amezidi kujikita katika mkasuala ya biashara baada ya kufanikiwa kufungua mgahawa wa kisasa kabisa kwa ajili ya maakuli na kuwa kivutio kwa maeneo hayo.   Masanja Mkandamizaji amezindua Mgahawa wake wa Kisasa kwa kuandaa sherehe za uzinduzi kwa kuwakaribisha wadau mbalimbali Mgahawa huo unaoitwa […]

Read More..

Kutana na Gabo Zigamba Akiwa na Niva Ndani ...

Post Image

Katika maisha inatupasa tuwe na subira na uvumilivu ingawa wakati mwingine shida inaweza kuwa mvumbuzi wa matatizo.Tunamshukuru Mungu kwa huyu mtoto alietupatia japo si damu yetu ila amekuwa faraja kwetu. KASANGA NAE MWANA. Bongo Movies 2016-Kasanga Nae Mwana (Official Trailer) Movie: Kasanga Nae Mwana Production: King Media Genre:  Comedy&Drama Cast: Salim Ahmed, Zuber Mohammed Release […]

Read More..

Tanzia: Msani John Woka Afariki Dunia Leo

Post Image

Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Michael Dennis Mhina ‘John Woka’. Msanii wa muziki wa kizazi kipya ambaye alijipatia umaarufu mkubwa kwa staili yake ya kuimba kama mlevi, Michael Dennis Mhina ‘Joni Woka’ amefariki dunia alfajiri ya leo. Akiongea kwa simu kaka wa marehemu Omari Milay, amesema walipigiwa simu alfajiri ya leo na kujulishwa kuwa Joni […]

Read More..

Producer wa Filamu ya Mpango Mbaya Staford ...

Post Image

MTAYARISHAJI na muongozaji wa filamu ambaye pia ni mwasisi wa Mtandao huu FC Staford Kihore anatarajia kutua nchini Nigeria kwa ajili ya kushuhudia utoaji wa tuzo za African Magic Views Choice Awards tuzo hizo ambazo zinatarajia kutolewa mwezi March 2016, akiongea na FC Kihore amesema kuwa anatarajia kutoa Lagos tarehe 2 March. 2016.   Mtayarishaji […]

Read More..

Picha: Mafufu Asherekea Siku Yake ya Kuzali...

Post Image

Juzi siku ya Valentine’s Day, mkali wa Bongo Movies, Jimmy Mafufu mkali wa ‘Ishakuwa soo’ filamu inayofanya vizuri sokoni hivi sasa, ilikuwa ni siku yake ya kuzaliwa ambapo alisherekea kwa kutoa sadaka katika kituo cha watoto Yatima kilichopo Tandale. Tukio hilo liliudhukiwa na wasanii kadhaa walioshiriki kwenye filamu ya ‘Ishakuwa Soo’ akiwemo Niva, Duma na […]

Read More..

Linnah Afunguka Sababu za Wasanii wa Kike K...

Post Image

Kwenye upande wa game la muziki nadhani hii iko world wide kwamba watoto wa kike wako wachache sana,hata kibongo bongo pia,sasa kuhusiana na game la kibongo linah ana sababu zake ambazo anahisi ndizo zinazosababisha watoto wakike hawatusui kibongo bongo lakini. ‘’Tumekuwa hatuko ‘real’ tuna nafikiana sana maneno huyu kampelekea huyu,mara kutengenezeana stori,halafu vitu vingine zinakuwa […]

Read More..