-->

Daily Archives: February 17, 2016

Idris Awachanganya Team Wema

Post Image

Hali imeanza kuwa tofauti na ya huzuni kwa mashabiki wa Wema Sepetu baada ya Idris kupost ujumbe ambao unaonesha kuwa alikuwa anategemea kupata watoto mapacha lakini haijaweza kuwa hivyo kutokana na ujauzito huo kuharibika. Zikiwa zimepita wiki kadhaa toka taarifa rasmi za watu hao kutoka kimapenzi na kuonesha walikuwa wanategemea kupata mtoto baada ya Wema […]

Read More..

Mzimu wa Kanumba wamsumbua Ray Kigosi

Post Image

Ikiwa ni zaidi ya miaka minee toka alipofariki dunia msanii wa filamu nchini Kanumba The Great lakini bado wapenzi wa filamu nchini na mashabiki wanaonesha kukubali zaidi kazi zake. Hali hiyo imepelekea wapenzi kusema kuwa aliyekuwa mpinzani wake katika tasnia hiyo Ray Kigosi ameshindwa kufikia kiwango ambacho alikiacha Kanumba miaka minne nyuma. Leo kupitia ukurasa […]

Read More..

Picha: Shilole na Nuh Mziwanda ‘Waringish...

Post Image

Kama ulikuwa ni msiba wa ‘penzi’ basi arobaini imeisha na sasa maisha yanaendelea kwa wasanii wa Bongo fleva, Shilole na Nuh Mziwanda ambao uhusiano wao umekufa na kuzikwa kabisa. Wiki chache baada ya couple ya ‘shiwanda’ kuvunjika, na juhudi za wadau mbalimbali kutaka kuwapatanisha kugonga mwamba (soma hapa), inavyoonekana Nuh na Shishi kila mmoja ameamua […]

Read More..

Chuchu Azungumzia ‘Usaliti’

Post Image

Mmoja wa waandaaji wa tamthilia mpya ya Usaliti Chuchu Hansi ameeleza kuwa tamthilia hiyo itaanza kuruka Jumanne ya leo saa 09:30 usiku kupitia EATV. chuchu amesema tamthilia hiyo itahusu migogoro ya kimapenzi na usaliti. Chuchu amesema tamthilia hiyo itahusisha wakali kibao wa zamani na wa sasa akiwemo yeye mwenyewe na wengine kama Nyamayao, Thea, Senga […]

Read More..

Idris Sultan Aomboleza Watoto Wake na Wema ...

Post Image

Idris Sultan ambaye ni mwenzi wa mwanadada Wema Sepetu, ambao hivi karibuni walitoa taarifa kuwa wanatarajia kupata mtoto, ameibua hisia za mashabiki wake baada ya kuandika ujumbe unaoashiria kuharibika kwa ujauzito huo wa mwenzi wake. Kwenye ukurasa wake wa Instagram Idris ameandika ujumbe ukionyesha kuhuzunishwa kwa kuharibika kwa ujauzito huo, kwani walikuwa wenye furaha huku […]

Read More..

Nay wa Mitego: Kuongea Kwangu Ukweli Kunani...

Post Image

Nay Wa Mitego amesema ngoma zake zenye mashairi yanayowahusu baadhi ya wasanii zimemfanya akose marafiki na baadhi yao ambao alikuwa nao karibu kumtenga. ‘’Ilishawahi kutokea nilipotoa ngoma yangu ya ‘Salamu Zao’ kuna baadhi ya washikaji zangu ambao nilikuwa nao karibu walinikimbia wakajua chochote kinaweza kutokea,nilipotoa nyimbo zingine haikuwa hivyo,ila nilipoa ngoma yangu mpya baadhi yao […]

Read More..

Mimba ya Wema Yayeyuka Ghafla

Post Image

Mimba ya staa wa filamu  Bongo, Wema Sepetu iliyokuwa gumzo kila kona, ni kama puto kwani baada ya kupulizwa, kujaa na kuvuma sana, hatimaye limepasuka na kuacha vilio kwa familia na watu wake wa karibu, Risasi Mchanganyiko linaweza kuripoti.  JIUNGE NA CHANZO Chanzo chetu makini kilichoomba hifadhi ya jina lake ili kulinda ‘ushosti’ wake na […]

Read More..