-->

Daily Archives: February 12, 2016

Niva Amfungukia Nay wa Mitego Baada ya Kuch...

Post Image

Baada ya msanii Nay wa Mitego Kumchana Niva Kwenye ‘Shika Adabu Yako’ kupitia mtandao wa instagram Niva amefunguka haya; Alianza kuwa kuandika haya; “Jioni ya Leo ndio watu watajua. Kama natafuta Kiki kwako au wewe @naytrueboy umeamua kuipata Kiki kwangu coz ney watu wameanza kukujua 2013… mimi watu wameanza kunijua tangia elfu mbili na sita […]

Read More..

BASATA Waishikisha Adabu ‘Shika Adabu Yako’

Post Image

Baraza la sanaa la Taifa BASATA limeufungia rasmi wimbo wa msanii Ney wa Mitego ‘Shika adabu yako’, ambao umeleta gumzo kubwa na mtafaruku kwa wasanii wengine na BASATA. BASATA imetoa taarifa hiyo kwenye ukurusa wake wa twitter, na kuelezea kuwa wameamua kuufungia wimbo huo kutokana na ukiukwaji mkubwa wa maadili na uchochezi. “BASATA limeufungia rasmi […]

Read More..

Thea Adaiwa Kuhongwa Gari

Post Image

STAA wa filamu Bongo, Salome Urassa ‘Thea’ sasa hivi anasukuma mkoko baada ya kutembea kwenye vumbi kwa muda mrefu lakini pia taarifa zilizo nyuma ya pazia zinadai eti kahongwa na mwanaume. Inadaiwa baada ya Thea kumwagana na Michael Sangu, alijiweka kwa mwanaume mwenye nazo na ndiye aliyempa jeuri ya kumiliki gari hilo aina ya Toyota […]

Read More..

Kutana na Wastara Ndani ya Karibu Dar

Post Image

FILAMU ijulikanayo kwa jina la Karibu Dar ipo tayari na sasa inaingia sokoni siku ya Jumatatu kwa kishindo sinema hiyo ambayo kinara wake ni Wastara Juma ‘Stara’ ni kazi nzuri na yenye stori ya kuvutia na inasambazwa na kampuni ya Splash Entertainment ya jijini Dar es Salaam. Sinema ya Karibu Dar imewashirikisha wasanii wakali kama […]

Read More..

Zari Akwaa Skendo ya Makalio Feki

Post Image

Nasibu Abdul ‘Diamond’ na mpenzi wake, Zarinah Hassan ‘Zari’   Mpenzi wa Mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond’, Zarinah Hassan ‘Zari’ au ukipenda muite mama Tiffah, amekwaa skendo ya kutumia makalio feki kila anapokuwa kwenye mtoko. Mjadala wa muonekano wa Zari ulianzia siku alipomsindikiza Diamond kusaini mkataba mnono wa Kampuni ya Vodacom ambapo akiwa amevalia kigauni chake […]

Read More..

Video Mpya ya Diamond Kuzinduliwa Leo

Post Image

VIDEO mpya ya msanii wa kizazi kipya nchini, Nassib Abdul, ‘Diamond Platnum’, ‘Make me Sing’, inatarajiwa kuzinduliwa leo itakapochezwa kwa mara ya kwanza katika  televisheni ya MTV Base. Diamond, anayetarajiwa kwenda nchini Marekani kufanya kazi na mtayarishaji wa muziki, Swizz Beat pamoja na kupiga picha za video yake aliyomshirikisha Neyo, katika video hiyo amemshirikisha mkali […]

Read More..

Wema Sepetu Akanusha Uvumi wa Mimba Yake Ku...

Post Image

Mashabiki wa Wema Sepetu waliingiwa na hofu kali baada ya mtangazaji wa Clouds FM, Soudy Brown kuandika post yenye utata.   “Pole Dada @wemasepetu mungu akupe nguvu ktk kipindi hiki kigumu, akupe moyo wa uvumilivu pia ili utoke hospitali ukiwa salama inshaallah, kazi Yake Mola haina makosa #INASEMEKANAETI,” aliandika Soudy kwenye Instagram. Wengi walitafsiri post […]

Read More..