-->

Daily Archives: February 21, 2016

Video: JB Alipotembelea Kituo cha Kulelea W...

Post Image

Staa mkongwe wa Bongo Movies, Jacob Stephen ‘JB’ mwishoni mwa mwaka uliyopita alitembelea kituo cha Watoto Yatima cha Msimbazi Centre kilichopo Ilala na kutoa zawadi kwa watoto wa kituo hicho kinachomilikiwa na Kanisa Katoliki msanii huyo amesema anasikia faraja kuwatembelea watoto hao. JB pia alitumia nafasi hiyo kwa kuongea na uongozi wa kituo hicho kisha […]

Read More..

Barua ya Jack Cliff Yazua Simanzi Upya

Post Image

Ikiwa imekatika miaka miwili tangu alipokamatwa na madawa ya kulevya huko Macau, nchini China, Video Queen, Jack Cliff ameibua simanzi upya baada ya kuandika barua ya wazi kwa Watanzania. Simanzi hiyo iliibuka mwanzoni mwa wiki hii mara baada ya barua hiyo kusomwa redioni na Mtangazaji Millard Ayo ambapo barua hiyo ilieleza kuwa ameamua kufanya hivyo […]

Read More..

Majungu Yanaturudisha Nyuma Wasanii wa Kike...

Post Image

Mwanadada kunako muziki wa Bongo fleva, Linah Sanga, ametoa yaliyo moyoni kwa kuweka wazi kuwa wasanii wengi wa kike hapa Bongo wameshindwa kufanikiwa kwenye muziki kutokana na kuendekeza majungu badala ya kufanya kazi. Linah amesema kitendo hicho kimekuwa kikiwarudusha nyuma na kusema ni wakati sasa kwa wasanii wa kike kujitafakari na kufanya kazi kwa ushirikiano. […]

Read More..

Talaka ya Jide Mazito Yaibuka!

Post Image

Siku chache baada ya staa mwanadada mkongwe wa Bongo Fleva, Judith Wambura Mbibo ‘Jide’ kupewa talaka mahakamani na mumewe Gardner G. Habash ‘Captain’ mazito yameibuka baada ya kubainika uwepo wa hati nyingine ya talaka aliyoitoa Gardner kwa mwanamke mwingine, Risasi limeinasa. Chanzo makini kimepenyeza habari kuwa mbali ya Jide anayetarajia kuibuka na kishindo kikubwa cha […]

Read More..

Maneno ya Lulu na Wema Sepetu Baada ya Kuon...

Post Image

Usiku wa February 20 2016 mwigizaji Lulu ilibidi aandike tu kwenye page yake ya Instagram kuhusu taarifa za yeye kufumaniwa na Idris Sultan ambaye siku za karibuni amekua akijulikana kama boyfriend wa Wema Sepetu. Lulu aliandika >>> ‘Huyo ulodai kanifumania hana hata Taarifa….guys hizo drama zenu za kwenye mitandao sio kila mtu ana entertain…..tushafanya drama […]

Read More..