-->

Daily Archives: February 26, 2016

Mzungu Kichaa Awadiss Wema na Idriss

Post Image

Staa wa muziki Mzungu Kichaa, amevunja ukimya kuligusia suala ambalo pengine linawaumiza wasanii wengi, ikionekana kuwa ni ‘diss’ pia kwa staa Wema Sepetu na mwenzake Idriss Sultan, kupitia suala lao la ujauzito kunasa na kutoka. Akiongea kwa hisia nzito, Mzungu Kichaa ambaye ana project kubwa ya video ambayo watu hawaifahamu kama wanavyofahamu mimba ya Wema, […]

Read More..

Picha: Uchaguzi wa Rais wa Shirikisho la Fi...

Post Image

Mgeni rasmi wa Shughuli hiyo, Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na michezo, Mh. Nape Nnauye (katikati) akizungumza jambo wakati wa zoezi hilo. Mpinzani wa Mwakifwamba, Issa Hamis Kipemba (mbele) akizungumza jambo kabla ya uchaguzi kuanza. Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania aliyekuwa akimaliza mda wake, Simon Mwakifwamba (kulia) na Makamu wake, Deosonga Njelekela wakiwa mbela […]

Read More..

Kajala Sasa Ajis’tukia Kuzeeka

Post Image

Staa wa Filamu Bongo, Kajala Masanja amesema kuwa mambo ya kimjini kama wafanyavyo mastaa wengine kwa sasa ameyapa mgongo kwa madai kuwa anaona anaelekea kuzeeka. Akizungumza na mwandishi wa habari hii hivi karibuni, Kajala alisema kila anapojiangalia anaona kabisa alivyokuwa zamani sivyo alivyo sasa hivyo ana kila sababu ya kubadilika. “Kiukweli najiona kabisa naelekea kuzeeka, […]

Read More..

Wabogojo aanika maisha ya Jack jela

Post Image

Mkali wa mchezo wa sarakasi Bongo, Athumani Ford ‘Wabogojo’ anayefanya kazi za sanaa nchini China, amefunguka mambo kadhaa ya mwanamitindo Jacqueline Cliff ambaye amefungwa nchini humo kwa kosa la kukamatwa na madawa ya kulevya. Wabogojo ambaye amekuja Bongo kwa ajili ya mapumziko mafupi, alisema kuwa mrembo huyo anaendelea vizuri sana gerezani na ni mtu ambaye […]

Read More..

Barnaba Unanikimbia Huniwezi – Linex

Post Image

Msanii Linex amempa za uso msanii mwenzake ambaye naye ana sauti tamu ya kuimba Barnaba Clasic, na kusema kuwa anamuogopa kufanya naye kazi kwani kwa vyovyote vile atamfunika. Kwenye ukurasa wake wa instagrama Linex ameandika akimtaka Barnba asikimbie wanapotakiwa kufanya kazi ya pamoja, kwani kila akimwambia anamkimbia. “Mara ngapi wametokea wadau na wakawa tayari kuweka […]

Read More..

Ray Atakiwa Awe Balozi wa Maji

Post Image

BAADA ya mwigizaji mashuhuri katika filamu, Vicent Kigosi ‘Ray’ kudai weupe wake unatokana na kunywa maji mengi na kufanya mazoezi na siyo mkorogo, makampuni manne yanayojishughulisha na masuala ya maji yamemtaka awe balozi wao. Ray alisema licha ya makampuni hayo ambayo hakutaka kuyaweka wazi kujitokeza, bado hajawa tayari kwa sasa. Akizungumza na MTANZANIA jana, Ray […]

Read More..

Picha: Niva Aibuka Kariakoo na Kutoa Zawadi...

Post Image

Staa wa Bongo Movies, Zubery Mohamed ‘Niva’ siku ya jana aliwahangaza wengi kwa kitendo cha kutembelea maduka ya filamu kariakoo na kusaidia kuuza a filamu yake ya Kisanga nae Mwana ambapo alitoa zawadi za T-Shirt za filamu yake hiyo na Radio za solar kutoka steps solar kwa mashabiki. Filamu ya Kasanga Naye Mwana ambayo imewajumuisha […]

Read More..