-->

Daily Archives: February 23, 2016

Hemedy na Rich Mavoko Wamenigombania- Gigy ...

Post Image

Video queen Gigy Money ambaye hivi karibuni alikuwa kwenye vichwa vya habari za burudani baada ya msanii Tekno Miles kutoka Nigeria, kukana kuwa na mahusiano naye, amefunguka jipya na kuweka wazi watu ambao aliwahi kuwa na mahusiano nao. Akiongea katika kipindi cha Planet Bongo kinachorushwa na East Africa Television, Gigy alisema kuna baadhi ya wasanii […]

Read More..

Ray Producer wa Tajiri Mfupi Ndio Habari ya...

Post Image

MWIGIZAJI Muongozaji na mtayarishaji wa filamu  Vincent Kigosi Ray ameteka kila kona ni yeye kuliko hata game ya Yanga na samba wala watu hawana habari na matokeo ya kidato cha nne kila mtu ni Ray Ray, hiyo inaonyesha msanii huyo ni Nyota kweli katika tasnia ya filamu Bongo.   Huku akijiandaa kuachia filamu yake ya […]

Read More..

Nuh Mziwanda: Shilole Alikuwa Ananioteza, H...

Post Image

Nuh Mziwanda amedai kuwa Shilole hakuwa mwanamke aliyekuwa akimshauri mambo ya msingi. Akiongea na Clouds FM, Nuh amedai kuwa ex wake huyo hakuwa hata kumshauri ajijenge kimaisha kwakuwa alipenda aendelee kuwa tegemezi. “Nilikuwa naishi kwa mwanamke wangu (Shilole) alikuwa hataki ninunue hata feni, hajawahi kuniambia ninunue friji,kitanda niweke nyumbani kwa mama yangu vikae,ila wazazi wangu […]

Read More..

Mtoto wa Kanye West Amchanganya Wema Sepetu

Post Image

Siku moja baada ya mastar wakubwa Kim Kardashian na Kanye West kupost picha ya mtoto wao wa pili aitwaye ‘Saint West’ ameonesha kumchanganya sana bidada Wema Sepetu kwa kile alichokifanya kwenye mitandao yake ya kijamii.   Wema Sepetu jana amepost picha zaidi ya tatu Instgram za mtoto huyo huku akionesha ni jinsi gani ametokea kumpenda […]

Read More..

Mwakifamba, Kipemba Kugombea Urais

Post Image

KAMATI ya Uchaguzi wa viongozi wa Shirikisho la Filamu nchini (TAFF), imetangaza majina ya watakaogombea katika uchaguzi utakaofanyika katika Ukumbi wa Urafiki, Ubungo, Februari 20 mwaka huu. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Mwenyekiti wa kamati hiyo, Mathew Bicco, alisema uchaguzi huo utakuwa na nafasi tatu za kugombania ambazo ni urais, […]

Read More..