-->

Daily Archives: February 10, 2016

Ukipata Mtu Kama Riyama Usichelewe Kumuoa &...

Post Image

Leo Mysterio ambaye ni mchumba wa malkia wa filamu nchini Riyama Ally amefunguka na kusema “unapopata mtu anayestahili kuwa mke usicheleweshe kufanya maamuzi ya kumuweka ndani”. Leo Mysterio amesema hayo kupitia kipindi cha Planet Bongo ya East Africa Radio na kusema kwa sasa tayari yeye amefanya maamuzi ya kuishi na Riyama na muda wowote kuanzia […]

Read More..

Naomba Shetta Usinirudishe Enzi za Mr Nice ...

Post Image

Msanii mkongwe wa muziki wa Hip Hop nchini, Dudu Baya amemtaka Shetta kuacha kutumia jina la ‘Mamba’ kwani hiyo ni ‘aka’ yake ambayo amekuwa akiitumia kwa miaka mingi. Akizungumza na Bongo5 Jumatano hii, Dudu Baya alisema anaomba Shetta aache mara moja kutumia jina hilo ili yasije yakatokea kama ya Mr Nice. “Shetta ni kama mdogo […]

Read More..

Karibu Dar ya Wastara Yaja kwa Kasi

Post Image

FILAMU ijulikanayo kwa jina la Karibu Dar ipo tayari na sasa inaingia sokoni siku ya Jumatatu kwa kishindo sinema hiyo ambayo kinara wake ni Wastara Juma ‘Stara’ ni kazi nzuri na yenye stori ya kuvutia na inasambazwa na kampuni ya Splash Entertainment ya jijini Dar es Salaam.   “Sinema ya Karibu Dar inatarajia kuingia siku […]

Read More..

Familia ya Diamond Yalamba Mamilioni

Post Image

FAMILIA ya mkali wa Muziki wa Kizazi Kipya Bongo, Nasibu Abdul ‘Diamond Platinumz’ imelamba mamilioni ya shilingi kufuatia mkataba walioingia hivi majuzi na kampuni ya simu ya mkononi ya Vodacom, Risasi Mchanganyiko lina ripoti kamili. Kwa mujibu wa chanzo kilicho ndani ya kampuni hiyo yenye mtandao mkubwa zaidi wa simu nchini, Diamond na familia yake […]

Read More..

Ommy Amjibu Ney Baada ya Kuambiwa ‘Jo...

Post Image

Msanii Ommy Dimpoz amejibu mapigo kwa Ney wa Mitego baada ya kumuimba kwenye wimbo wake, huku akimtuhumu eti rafiki zake hawamjui shemeji yao au huenda jogoo hawiki. Ommy Dimpoz amefunguka juu ya hilo na kumrushia makombora ya kutosha Ney wa Mitego, kwa kuandika kwenye ukurasa wake wa instagram na kuiita barua ya wazi kwa Neema […]

Read More..

Mazuri Yangu Chukueni na Mabaya Acheni-Shil...

Post Image

Msanii wa bongo movie na  bongo fleva Shilole amefunguka na kuwataka wadada kuiga iana ya maisha anayoishi kwa kuchukua mambo mazuri anayoyafanya na yale mabaya wayaache wasiyaige. Shilole amesema hayo kupitia Account yake ya Instgram ambapo alikuwa akiwataka vijana wasikate tamaa na wala wasikubali kukatishwa tamaa na binadamu bali wanapswa kumtegemea Mungu na kusimamia kile […]

Read More..

Riyama Ally ‘Mkegani’ Awachana Maproduc...

Post Image

Msanii mahiri wa filamu Tanzania Riyama Ally anayetambulika kwa sasa kama malkia wa uswazi au Mkegani amewalalamikia watayarishaji wa filamu nchini kuwa wanachangia kwa kiasi kikubwa kuua vipaji vya wasanii hapa nchini. Wasanii wamekuwa wakijadiliwa na kukosolewa sana katika uigizaji wao na kutobadilika kuendana na husika wanazocheza katika filamu. Leo nimepata fursa ya kuongea na […]

Read More..