-->

Daily Archives: February 13, 2016

Picha: Mapokezi ya Diamond, familia yake na...

Post Image

Mkali wa Bongo Fleva, Diamond Platinum siku ya jana akiwa na Zari  na Tiffah pamoja na team yake ya wasafi walitua mjini Kisumu nchini Kenya, na hizi ni baadhi ya picha za mapokezi yake hapo jana pamoja na ‘sound check’ aliyoifanya mapema leo kwa ajili ya show itakayofanyika leo mjini humo.

Read More..

Ester Kiama, Davina Watibuana kisa, Upatu

Post Image

Mastaa wa filamu Bongo, Ester Kiama na Halima Yahya ‘Davina’ juzikati walitifuana kwa kutupiana maneno makali kupitia kundi lao la Mtandao wa WhatsApp kisa, kikiwa ni mchezo wa upatu. Sosi ambaye ni memba wa kundi hilo alidai kuwa, wawili hao pamoja na mastaa wengine wana mchezo wao wa kupeana pesa ‘upatu’ lakini siku hiyo Ester […]

Read More..

Mike Sangu Afunguka Hatma ya Ndoa Yake na T...

Post Image

JINA alilopewa na wazazi wake ni Michael Sangu lakini kwenye sanaa anatambulika kwa jina la Mike. Ni mwigizaji na mwongozaji wa filamu za Kibongo kwa muda mrefu. Habari kubwa zaidi katika maisha yake kwa sasa ni kuhusu ndoa yake na mwigizaji mwenzake Salome Ndumbangwe Misayo ‘Thea’.  Ni zaidi ya mwaka mmoja sasa amekuwa na mgogoro […]

Read More..

Nitamdunda Shetta Zaidi ya Mr Nice – ...

Post Image

Msanii wa muziki Dudubaya amefunguka na kusema kuwa msanii Shetta asitake kumchokoza na kumrudisha katika enzi za nyuma cha msingi anataka aache mara moja kutumia jina lake la Mambaambalo yeye ndie alianza kulitumia toka mwaka 2007. Dudubaya alisema hayo kupitia kipindi cha Planet bongo na kusema kuwa Shetta kwake ni kama mjukuu tu kwani yeye […]

Read More..

Johari Awewesekea Penzi la Mbunge

Post Image

MUIGIZAJI mkongwe wa filamu Bongo, Blandina Chagula anayefahamika kisanii kama Johari, anadaiwa kuwewesekea penzi la mbunge mmoja wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (jina linahifadhiwa) ambaye alifunga ndoa miezi michache iliyopita. Chanzo makini kilicho karibu na msanii huyo kimeliambia gazeti hili kuwa Johari alikasirishwa na kushangazwa na hatua ya msanii mwenzake kuolewa na mbunge huyo, […]

Read More..